Mke wa raisi anatunzwa na kodi zetu mpaka ukamilifu wa maisha yake, ana haja gani ya kurudi kukaa vumbini kuomba kura? Mbona mama Nyerere, Mama Siti na mama Mkapa hawakurudi kuwa wabunge?Hahahaaa! Tamaa ya nini?!
Yaani nimechekaa kwa sauti watu wote kwa Mwendokasi wakaniangalia!! Hahaahaahaa!!
Uchaguzi ujao huenda Mama Anna Mkapa akachukua form kuomba kuteuliwa kugombea ubunge huko ndanda, huwezi juaNadhani anaongelea Marais wa JMT.
Salma Kikwete ndiyo atachuku na hutaamini macho yako,tuombe uhai!!Uchaguzi ujao huenda Mama Anna Mkapa akachukua form kuomba kuteuliwa kugombea ubunge huko ndanda, huwezi jua
Hillary Clinton aligombea useneta New York mara baada ya mumeo kustaafu uraisi.Ni kweli, haya Mara nyingi yanatokea kwenye nchi za Kidikteta.
Kwani Hillary Clinton ilikuwaje?Aisee! Kuna binadamu wanakula mema ya nchi vizuri sana, kutoka kuwa 'first lady' kwa miaka 10 mpaka mbunge wa kuteuliwa na sasa anachukua Jimbo.
Kila laheri Mama Salma kwenye harakati za kutwaa jimbo.
Ni aibu first lady anatafuta ubungeTamaa tu.
Wanatuambia tujiajiri Hali wao hawawezi.Uchaguzi ujao huenda Mama Anna Mkapa akachukua form kuomba kuteuliwa kugombea ubunge huko ndanda, huwezi jua
Wewe una ushahidi gani kuwa haunuki licha ya kuwa na maisha ya kawaida tu?,Nivizuri kuishi maisha ya kawaida ukiwa na heshima yako.
Ni aibu kuishi na maisha ya kifahari wakati ukitoka nje unanuka
Sent using Jamii Forums mobile app
Anadhalilisha ufestilediBwashee yaan hakuna hata mke mmoja wa Rais aliyewahi kutaka ubunge, Huyu kipo kinamhangaisha?
Huyu mama ana wito wa kuwatumikia wananchi ndio maana hata alipokuwa ikulu alifanya hivyo kupitia taasisi aliyoiasisi ya WAMA.Mke wa raisi anatunzwa na kodi zetu mpaka ukamilifu wa maisha yake, ana haja gani ya kurudi kukaa vumbini kuomba kura? Mbona mama Nyerere, Mama Siti na mama Mkapa hawakurudi kuwa wabunge?
Unafananisha maziwa na tui la nazi kisa vyote vina rangi nyeupe..?Kwani Hillary Clinton ilikuwaje?
Naamini WAMA bado ipo, kwa nini asiegemee huko? Kama kweli anakereketwa na maendeleo ya wananchi wa nchi hiiHuyu mama ana wito wa kuwatumikia wananchi ndio maana hata alipokuwa ikulu alifanya hivyo kupitia taasisi aliyoiasisi ya WAMA.
Hiyo WAMA ilijikita kwa wanawake tu tena ni taasisi, ila akiingia bungeni na kukabidhiwa mfuko wa jimbo ataweza kuwasaidia wananchi kwa uwepesi zaidi.Naamini WAMA bado ipo, kwa nini asiegemee huko? Kama kweli anakereketwa na maendeleo ya wananchi wa nchi hii
It makes sense, ingawa I am still not convinced!Hiyo WAMA ilijikita kwa wanawake tu tena ni taasisi, ila akiingia bungeni na kukabidhiwa mfuko wa jimbo ataweza kuwasaidia wananchi kwa uwepesi zaidi.
Hii inatoka kwenye akili choka ile mbayaUnafananisha maziwa na tui la nazi kisa vyote vina rangi nyeupe..?
Propaganda zimekupofusha..Hii inatoka kwenye akili choka ile mbaya
Hii inatoka kwenye akili ya mfuPropaganda zimekupofusha..