Kwa wenzetu kawaida tu, pia hata umri wake bado lazima afanye kazi [emoji23]Aisee! Kuna binadamu wanakula mema ya nchi vizuri sana, kutoka kuwa 'first lady' kwa miaka 10 mpaka mbunge wa kuteuliwa na sasa anachukua Jimbo.
Kila laheri Mama Salma kwenye harakati za kutwaa jimbo.
Kuna aina nyingi za dua. Mifano, dua ya kuku dhidi ya mwewe, dua ya panya dhidi ya paka, dua ya swala dhidi ya Chui, dua ya Simba dhidi ya Yanga, dua ya Chadema dhidi ya ACT, na dua ya Mmawia dhidi ya uimara wa Tanzania kiuchumi na kiusalama. Pia dua ya Mmawia ni dhidi ya ustawi wa tamaduni za mtanzania, Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na mengine mengi kama hayo.
UlafiTamaa tu.
MadarakaHahahaaa! Tamaa ya nini?!
Aliyemuumba Simba, ndiye aliyemuumba Swala, aliyemuumba Ngurue akamuumba Binadamu...Aisee! Kuna binadamu wanakula mema ya nchi vizuri sana, kutoka kuwa 'first lady' kwa miaka 10 mpaka mbunge wa kuteuliwa na sasa anachukua Jimbo.
Kila laheri Mama Salma kwenye harakati za kutwaa jimbo.
Hizi ndio tunaziita tamaa mtu ushakula bata mpka kuku wakakuonea wivu ushazunguuuka Dunia mpaka ukakinai ni wakati wa kula pensheni atulie leo unaenda kudanganya huko tena yaani kutoka first lady mpaka viti maalum sasa hivi tunawaona wakikuna mpaka nazi kuutaka ubunge sasa kama sio ulafi ni nini na mimi naona inategemea na maeneo wanapoomba hizo kura wananchi wa maeneo hayo wapoje kiuelewa huyu angekuwa kwenye ile mikoa inayojitambua mbona asubuhi tu angeangukia puaAisee! Kuna binadamu wanakula mema ya nchi vizuri sana, kutoka kuwa 'first lady' kwa miaka 10 mpaka mbunge wa kuteuliwa na sasa anachukua Jimbo.
Kila laheri Mama Salma kwenye harakati za kutwaa jimbo.
Mke wa raisi anatunzwa na kodi zetu mpaka ukamilifu wa maisha yake, ana haja gani ya kurudi kukaa vumbini kuomba kura? Mbona mama Nyerere, Mama Siti na mama Mkapa hawakurudi kuwa wabunge?