Mzee Kilomoni nenda kacheze na vitukuu sasa...

Wanaposema mashabiki wa simba ni mbumbumbu ni kweli kabisa.Manara anawaimbisha taarabu,mo anawaimbisha taarabu,dewji mo nae taarabu kilomoni taarabu.Maneno mengi ya nini?
Simba na jopo la wataalam wote kwa nini hawakueleza yote hayo kuwa miaka mitatu ilopita kilomon alipoteza umiliki wake?

Kwa nini kilomoni asifutwe uanachama kwa kuvuruga timu na mchakato halali wa timu uliokubariwa na wanachama 99%.

subiri kesho kilomoni ajibu mapigo.Hapo tutajua mbivu na mbichi.usije kuanzisha uzi mwingine maana magori kakui.bisha taarabu umejubali mapigo bila kuangalia response ya upande wa pili.
Maneno mengi kumbe ni shabiki la gongowazi likijaribu kujifariji[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]...mkuu umeongea blah blah nyingi....but hakuna lolote hapo....wewe ni shabiki wa gongowazi so unajaribu kuandika ambacho unatamani kitokee....mi nakushauri mkuu siku nyingine usijaribu kupoteza muda wako kuandika habari za simba huko sisi tulishatoka wanachama tulishaamua na tukapitisha mambo yetu kisheria...jaribu kutumia akili nyingi kuandika namna timu yako ya yanga inavyoweza kujikwamua na umasikini...wachezaji wapo kule morogoro wanashindia matikiti but hayo kwako hayana umuhimu unabakia kutuandikia hapa habari za vijiwe vya kahawa
 
Huu ni ugoro
magori wala dewji hawana jeuri ya kumfukuza kilomoni... muda utaongea tu...

kilomoni, bi hindu na wengineo wana nguvu sana simba.. kuliko magori aliyekuja simba baada ya kufukuzwa nssf... kwa anaebisha asubiri.. muda utaongea tu..

simba na yanga ni timu za wananchi na serikali ipo nyuma yao wananchi wasiporwe timu zao...

sasa huyo magori na mo dewji utaona seke seke litakalowapata .. kwanza dewji na magori wanashtumiwa ufisadi na serikali..

kilomoni ni kivuli tu.. kuna watu kibao wana nguvu nchi hii wapo nyuma yake ..

huyo dewji seke seke atakalolipaya atajuta why amewekeza timu za wananchi....

maneno ya kikwete kwenye harambee ya yanga yana maana kubwa sana...

hizo timu ni zaidi ya timu za mpira za kawaida..

simba itaingia mgogoro mkubwa sana kutokana na seke seke la kilomoni..

maana mpaka leo hati anazo yeye.. sasa mtu unamfukuza na unashindwa kumpora hati umeona wapi
 
Wanaposema mashabiki wa simba ni mbumbumbu ni kweli kabisa.Manara anawaimbisha taarabu,mo anawaimbisha taarabu,dewji mo nae taarabu kilomoni taarabu.Maneno mengi ya nini?
Simba na jopo la wataalam wote kwa nini hawakueleza yote hayo kuwa miaka mitatu ilopita kilomon alipoteza umiliki wake?

Kwa nini kilomoni asifutwe uanachama kwa kuvuruga timu na mchakato halali wa timu uliokubariwa na wanachama 99%.

subiri kesho kilomoni ajibu mapigo.Hapo tutajua mbivu na mbichi.usije kuanzisha uzi mwingine maana magori kakui.bisha taarabu umejubali mapigo bila kuangalia response ya upande wa pili.
Ndo mana nimekwambia washabiki wa yanga ni wapuuzi mnaoshadadia na kuingilia mambo yasiyowahusu....ulitaka wakueleze nini wewe mshabiki wa yanga wakati hayakuhusu....kwa taarifa yako sisi washabiki wa simba tunayajua hayo yote..na kama hujui tu kilomoni alishafukuzwa uanachama na mkutano mkuu wakati wa upitishwaji wa mabadiliko ya mfumo...kilichotokea viongozi wetu wakuu waliamua kutumia busara wakamrudishia uanachama na walimwita kwenye simba day mwaka jana na akashiriki kukata keki....sasa haya mambo we shabiki wa gongowazi huwezi kuyajua na hayakuhusu....alafu mambo ya mzee kilomoni yanawasaidia nini nyi mashabiki wa yanga kuiepusha timu yenu kushindia matikiti kule morogoro....wanaoshadadia na kufuatilia masuala yasiyowahusu ndo mambumbumbu kiwango cha lami
 
Tatizo la simba ni uoga uliopitiliza.... Wanamtukuza mo kana kwamba thamani ya simba ni zero kabisa.

Huu ni utumwa wa fikra... Kilomoni yupo kwenye msimamo sahihi... Ila uoga na tamaa za wanasimba ndio zinayumbisha nia ya kilomoni...

Sasa mo ndio atawaletea ujinga uliopitiliza... Mtamkumbuka kilomoni
 
Bora ukae kimya kama huna cha kuandika
Tatizo la simba ni uoga uliopitiliza.... Wanamtukuza mo kana kwamba thamani ya simba ni zero kabisa.

Huu ni utumwa wa fikra... Kilomoni yupo kwenye msimamo sahihi... Ila uoga na tamaa za wanasimba ndio zinayumbisha nia ya kilomoni...

Sasa mo ndio atawaletea ujinga uliopitiliza... Mtamkumbuka kilomoni
 
magori wala dewji hawana jeuri ya kumfukuza kilomoni... muda utaongea tu...

kilomoni, bi hindu na wengineo wana nguvu sana simba.. kuliko magori aliyekuja simba baada ya kufukuzwa nssf... kwa anaebisha asubiri.. muda utaongea tu..

simba na yanga ni timu za wananchi na serikali ipo nyuma yao wananchi wasiporwe timu zao...

sasa huyo magori na mo dewji utaona seke seke litakalowapata .. kwanza dewji na magori wanashtumiwa ufisadi na serikali..

kilomoni ni kivuli tu.. kuna watu kibao wana nguvu nchi hii wapo nyuma yake ..

huyo dewji seke seke atakalolipaya atajuta why amewekeza timu za wananchi....

maneno ya kikwete kwenye harambee ya yanga yana maana kubwa sana...

hizo timu ni zaidi ya timu za mpira za kawaida..

simba itaingia mgogoro mkubwa sana kutokana na seke seke la kilomoni..

maana mpaka leo hati anazo yeye.. sasa mtu unamfukuza na unashindwa kumpora hati umeona wapi
Acha kututishia nyau mkuu huyo mzee anang'oka kuanzia sasa
 
Yani vyura wanakua wananyege zilizo pitiliza badala wajadili jinsi ngan team yao itajikwamua vp na wimbi la kula matikiti wamekomalia mambo ya simba hata hayawahusu
 
Hawa wazee wa mjini alifikiri ataitwa chemba apigwe hata na milioni kumi anyamaze imekuwa too late angekaza mwanzo kabla ya mikutano ya kumpitisha Mo kuwa mwekezaji
 
magori wala dewji hawana jeuri ya kumfukuza kilomoni... muda utaongea tu...

kilomoni, bi hindu na wengineo wana nguvu sana simba.. kuliko magori aliyekuja simba baada ya kufukuzwa nssf... kwa anaebisha asubiri.. muda utaongea tu..

simba na yanga ni timu za wananchi na serikali ipo nyuma yao wananchi wasiporwe timu zao...

sasa huyo magori na mo dewji utaona seke seke litakalowapata .. kwanza dewji na magori wanashtumiwa ufisadi na serikali..

kilomoni ni kivuli tu.. kuna watu kibao wana nguvu nchi hii wapo nyuma yake ..

huyo dewji seke seke atakalolipaya atajuta why amewekeza timu za wananchi....

maneno ya kikwete kwenye harambee ya yanga yana maana kubwa sana...

hizo timu ni zaidi ya timu za mpira za kawaida..

simba itaingia mgogoro mkubwa sana kutokana na seke seke la kilomoni..

maana mpaka leo hati anazo yeye.. sasa mtu unamfukuza na unashindwa kumpora hati umeona wapi
Gongowazi wahed
 
Tatizo la simba ni uoga uliopitiliza.... Wanamtukuza mo kana kwamba thamani ya simba ni zero kabisa.

Huu ni utumwa wa fikra... Kilomoni yupo kwenye msimamo sahihi... Ila uoga na tamaa za wanasimba ndio zinayumbisha nia ya kilomoni...

Sasa mo ndio atawaletea ujinga uliopitiliza... Mtamkumbuka kilomoni
Gongowazi wahed
 
magori wala dewji hawana jeuri ya kumfukuza kilomoni... muda utaongea tu...

kilomoni, bi hindu na wengineo wana nguvu sana simba.. kuliko magori aliyekuja simba baada ya kufukuzwa nssf... kwa anaebisha asubiri.. muda utaongea tu..

simba na yanga ni timu za wananchi na serikali ipo nyuma yao wananchi wasiporwe timu zao...

sasa huyo magori na mo dewji utaona seke seke litakalowapata .. kwanza dewji na magori wanashtumiwa ufisadi na serikali..

kilomoni ni kivuli tu.. kuna watu kibao wana nguvu nchi hii wapo nyuma yake ..

huyo dewji seke seke atakalolipaya atajuta why amewekeza timu za wananchi....

maneno ya kikwete kwenye harambee ya yanga yana maana kubwa sana...

hizo timu ni zaidi ya timu za mpira za kawaida..

simba itaingia mgogoro mkubwa sana kutokana na seke seke la kilomoni..

maana mpaka leo hati anazo yeye.. sasa mtu unamfukuza na unashindwa kumpora hati umeona wapi
Unavyosema wasiporwe unamaanisha nini?kuuza timu ni kuporwa au
 
Back
Top Bottom