mikedean
JF-Expert Member
- Mar 15, 2018
- 3,267
- 4,634
Wanaposema mashabiki wa simba ni mbumbumbu ni kweli kabisa.Manara anawaimbisha taarabu,mo anawaimbisha taarabu,dewji mo nae taarabu kilomoni taarabu.Maneno mengi ya nini?
Simba na jopo la wataalam wote kwa nini hawakueleza yote hayo kuwa miaka mitatu ilopita kilomon alipoteza umiliki wake?
Kwa nini kilomoni asifutwe uanachama kwa kuvuruga timu na mchakato halali wa timu uliokubariwa na wanachama 99%.
subiri kesho kilomoni ajibu mapigo.Hapo tutajua mbivu na mbichi.usije kuanzisha uzi mwingine maana magori kakui.bisha taarabu umejubali mapigo bila kuangalia response ya upande wa pili.

Maneno mengi kumbe ni shabiki la gongowazi likijaribu kujifariji[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]...mkuu umeongea blah blah nyingi....but hakuna lolote hapo....wewe ni shabiki wa gongowazi so unajaribu kuandika ambacho unatamani kitokee....mi nakushauri mkuu siku nyingine usijaribu kupoteza muda wako kuandika habari za simba huko sisi tulishatoka wanachama tulishaamua na tukapitisha mambo yetu kisheria...jaribu kutumia akili nyingi kuandika namna timu yako ya yanga inavyoweza kujikwamua na umasikini...wachezaji wapo kule morogoro wanashindia matikiti but hayo kwako hayana umuhimu unabakia kutuandikia hapa habari za vijiwe vya kahawa