Mzee Kilomoni Tupo nyuma yako usiyumbishwe

Yaani vitu vyengine hivi eti mzee wetu,karne hii ya 21 mnafuga wa zee kwenye club.Mimi sijawahi kusikia wazee wa Manchester Utd,Wazee wa Arsenal,Wazee wa Liverpool nk,huu ujinga anapatika kwetu TZ mtu anataka kuwekeza mpeni timu,tatizo zengwe kama hili linaibuka sababu milango ya upigwaji imezibwa lakini Mo yupo sawa,ndani ya msimu mmoja simba imeingia robo fainali na kama Mo akiachiwa timu,usishangae baada ya miaka 3 inaweza fanya makubwa ktk soka la Afrika.

Au mnapenda kutembeza bakuli kama timu yetu ya Yanga ambayo ina migogoro kibao,mwacheni Mo afanye kazi kwani uendeshwaji wa mpira wa kisasa auhitaji wazee bali watu kama akina Mo,hao wazee wakalee wajukuu wao kwao na familia zao.Sasa rukeni rukeni alafu mfanye upuuzi wa kumfukuza Mo muone naona mmeimiss migogoro.
 
Hata ukiambiwa usajili mchezaji mmoja kwa Laki moja halafu umlipe mshahara elfu hamsini kwa mwaka huwezi ila mmejaa uswahili mtupu
 
Mwekezaji kwenye mpira wa Tanzania yupo mmoja - Bakhresa. Wengine wote hawa matapeli tu.
Kama hawataki kuwekeza Kama Bakhresa, waendelee kuwa wafadhili.
 
Mwekezaji kwenye mpira wa Tanzania yupo mmoja - Bakhresa. Wengine wote hawa matapeli tu.
Kama hawataki kuwekeza Kama Bakhresa, waendelee kuwa wafadhili.
Sasa nyinyi mnataka mwekezaji asipate faida?Hebu jifunzeni kwa Chelsea,Man City na PSG timu zile zipo pale sababu watu wemeweka hela zao na faida zinaoneka,Bakheresa sio mfadhili bali ni mmiliki wa wa Azam 100%.Ila nyie endeleeni tu si wenzenu Yanga tunaungaunga,nyie mmempata mwekezaji mnazingua.Ila kaa ukijua Tanzania HAMNA WAPENZI WA MPIRA BALI KUNA MASHABIKI WA MPIRA.
 
Kwa taarifa yako, mimi ni Yanga kama wewe
 
Wewe kula yako yashida alafu unajiita mwanachama wa simba, we mwanachama wa mihogo fc
 
Kwa taarifa yako, mimi ni Yanga kama wewe
Sawa ila kwangu mimi Mo anaibeba timu na siku hizi timu zinatafuta wawekezaji ili zipige hatua,leo hii Chelsea ni tishio sababu ya Abromovich,Man City tishio sababu ya Shekhe Mansor hivyo hivyo kwa PSG,mimi sioni Mo anapokosea tatizo letu tunataka tuendekeze utamaduni wa wazee na makomandoo ambao umeshapitwa na wakati.
 
Anachotaka kufanya Simba, alishindwa vipi kukifanya Mbagala Market? Au Singida United?
Kamanda, Bongo sio UK. Habari za Chelsea sio mifano sahihi.
 
mh! mmeanza. upumbavu huo ndo utaharibu mweleekeo mzima wa timu. acheni kupiga kelele. hizo kelele za kijinga ndo zimeifikisha yanga hapa ilipo.
Kuwa na kumbukumbu Bashite ndio aliyeifikisha Yanga hapa . Unafikiria Yusuf angekuwepo mngetamba misimu miwili.. Matajiri wote wanaigopa Yanga ila kila lenye mwanzo lina mwisho.. Mwenyekiti msomi sana ataleta wawekezaji kutoka nje
 
Hao wote uliowataja waliomba hati wakae nazo nyumbani?
 
Anachotaka kufanya Simba, alishindwa vipi kukifanya Mbagala Market? Au Singida United?
Kamanda, Bongo sio UK. Habari za Chelsea sio mifano sahihi.
Kaja Simba sababu anajua akiwekeza hela yake itarudi,huko kwengine huwezi rudisha hela yako,mpira biashara na biashara lazima utizame wateja ambao ni mashabiki.Bakheresa timu ile anakomaa nayo sababu anaitumia kutangaza biashara zake so lazima uangalie faida.
 
Mo kwani kaomba hati? au wapi ulimwona Mo kasema anadai hati.

Mo anataka vitu viwe wazi.
Manji smart kuliko MO. Yeye alitaka nembo tu ya Yanga . Sasa MO Anataka hati. . Hiyo mizee itamuangamiza . nilishangaa MO Simba awards kwa nini isiwe Simba awards.. Tafakuri
 
H
Manji smart kuliko MO. Yeye alitaka nembo tu ya Yanga . Sasa MO Anataka hati. . Hiyo mizee itamuangamiza . nilishangaa MO Simba awards kwa nini isiwe Simba awards.. Tafakuri
Hujanijibu maswali yangu.
 
mh! mmeanza. upumbavu huo ndo utaharibu mweleekeo mzima wa timu. acheni kupiga kelele. hizo kelele za kijinga ndo zimeifikisha yanga hapa ilipo.
Jamaa ni punguan wahiid, yaan timu yao iko vizuri afu wanaanza mifarakano,
Daah Yanga tungekua hivi saev ningefurahi sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…