joseph1989
JF-Expert Member
- May 4, 2014
- 17,420
- 35,765
Yaani vitu vyengine hivi eti mzee wetu,karne hii ya 21 mnafuga wa zee kwenye club.Mimi sijawahi kusikia wazee wa Manchester Utd,Wazee wa Arsenal,Wazee wa Liverpool nk,huu ujinga anapatika kwetu TZ mtu anataka kuwekeza mpeni timu,tatizo zengwe kama hili linaibuka sababu milango ya upigwaji imezibwa lakini Mo yupo sawa,ndani ya msimu mmoja simba imeingia robo fainali na kama Mo akiachiwa timu,usishangae baada ya miaka 3 inaweza fanya makubwa ktk soka la Afrika.
Au mnapenda kutembeza bakuli kama timu yetu ya Yanga ambayo ina migogoro kibao,mwacheni Mo afanye kazi kwani uendeshwaji wa mpira wa kisasa auhitaji wazee bali watu kama akina Mo,hao wazee wakalee wajukuu wao kwao na familia zao.Sasa rukeni rukeni alafu mfanye upuuzi wa kumfukuza Mo muone naona mmeimiss migogoro.