Mzee Kilomoni Tupo nyuma yako usiyumbishwe


Tupe value ya mali za simba na value ya mali za mo
 
Mbagala Market na baadaye African Lyon. Bila kusahau Singida United alichemsha kwa sababu hazina mali na mashabiki.
Yanga na Simba zina mali na mashabiki. Lazima avune tu.

Ukinambia mashabiki sawa ila sio mali kwa mfano Yanga wana mali gani zaid ya lile jengo? And unataka kunambia value ya lile jengo ni trillion ngapi?
 
Ameenda kusajili mali ya Simba iwe chini ya jina lake huoni kuwa Huo ni uhuni ulipitiliza? Mkataba unataka hivyo?
Mo kwani kaomba hati? au wapi ulimwona Mo kasema anadai hati.

Mo anataka vitu viwe wazi.
 
Wewe usfunge akili waza nje ya boksi watanzania ndio maana mnaibiwa kirahisi ushabki wa kipuuzi tu
Jamaa ni punguan wahiid, yaan timu yao iko vizuri afu wanaanza mifarakano,
Daah Yanga tungekua hivi saev ningefurahi sana
 
Bora we unaelewa kinachojadiliwa
 
Usikute ndio nn nyie vijana akili zenu zimejaaa matope tu

Katiba ya simba haitegemei jina la mtu hata wewe km unapesa utawekeza acha kukariri
Kilomoni wako huyo akiachiwa aendeshe timu ataweza japo hata kwa masaa48? Usikute hata wewe ni mshabiki tu hujawahi kulipa hata ada.
 
Usikute ndio nn nyie vijana akili zenu zimejaaa matope tu

Katiba ya simba haitegemei jina la mtu hata wewe km unapesa utawekeza acha kukariri

Kabla ya mo hayo majina ya watu yalikuwa wapi
 
Sijui kama una akili? Ama una ufahamu fulani sijui kama ni wewe au akili hata za kuandika humu umesaidiwa ili kupima akili za watu, hivi Simba Sport club na idadi ya mashabiki wake wote Nchi hii.
Inastahili kuwa na Jengo kama lile kama makao makuu? Tena eneo la kibiashara kama Kariakoo? Endapo mtu binafsi tu hawezi kuwa na akili za kindezi kama hizo je, vipi timu iliyo ongozwa na watu wanaovimbiana matumbo kwa wizi tangu 1935?
Hata aibu hamuoni? Hivi mnafikiri mnayoyafanya hayaonekani?
Ukiulizwa mafanikio ya simba nje ya uwanja inanini utajibu?
Au mo anataka atumie ujanja wa kujilimbikizia Mali kipitia jina lake siku akiondoka abebe ns utajiri wa simba tuanze moja tena
 
Wanapenda kujiita matajiri. Ukweli ni kwamba matumizi bado ni makubwa kuliko mapato.
Ujeuri wao ni hela ya Mo. Lakini wanasahau anawakopesha. Siku ya ku balance assets na madeni watakuta hiyo billion 20 ilishayeyuka zamani na bado kuna deni kubwa.

Tajiri akija kuchukua hati ya nyumba yako (kama unayo) wewe unapata hasara gani?
 
Ukinambia mashabiki sawa ila sio mali kwa mfano Yanga wana mali gani zaid ya lile jengo? And unataka kunambia value ya lile jengo ni trillion ngapi?
Kuna value ya jengo na kuna value ya eneo. Nyumba za Kariakoo kuuzwa bei hizo si thamani ya majengo bali eneo
 
We kenge utajiri wa Mo mi haunihusu na sitaki kujua
Kinachonihusu mimi ni simba kwasababu ni mwanachama hai wa simba

Mwekezaj yeyote anaweza kuja kuwekeza simba sio lazima awe mo
Asije akajifanya timu ni yake
 
Simba inauwezo gani kwasasa ukiacha uwongo mnaolishwa na media?
Wakati timu sio ya mtu ilikuwa na mafanikio gani? Wakati simba sio ya mtu mlikuwa na uwezo kama mliokuwa nao leo?
 
Wewe unaelewa nini tukisema mali na nembo ya simba
Au unaharisha utumbo tu
 
We kenge utajiri wa Mo mi haunihusu na sitaki kujua
Kinachonihusu mimi ni simba kwasababu ni mwanachama hai wa simba

Mwekezaj yeyote anaweza kuja kuwekeza simba sio lazima awe mo
Asije akajifanya timu ni yake
Mwanachama mwenye thamani gani kwa club yenye mamilioni ya mashabiki? Wewe unachangia tsh ngapi kuendesha timu?
Tangu ulipoanza kuwa mwanachama kuna mabadiriko gani chanya uliyo yafanya ambayo yanaonekana? Hiyo kadi umenunua tsh ngapi?
Nyinyi kama sio wachawi mna matatizo.ya akili.
Mmeona simba kumetulia Yanga kumetibuka mnataka simu kutibuke ili.yanga kutulie ndio michezo.yenu miaka yenu miaka yote.
 
Wewe unaelewa nini tukisema mali na nembo ya simba
Au unaharisha utumbo tu
Mpuuzi sana wewe.!
Hiyo nembo bila vitu vinavyo onekana kuwa hai na vyenye maana wewe vinakusaidiaje? , kama club haiendeshwi kibiashara na kuwa ni taasisi kubwa hiyo nembo inaisaidia nini Club?
Tunafahamu kuwa ilikua michezo yenu kuleta wachezaji halafu mnalazimisha wasajiliwe ili mgawane mshahara.! Tuna fahamu mengi kuhusu hujuma zenu mnazofanya pale club, wenzenu wapo gerezani mpaka leo..!
Ni vema mkajua kila Jambo lina wakati.wake.
 
Mchawi ni mamaako
Mimi hata Kama natoa mchango wa alfu kumi mwaka ninawajibu wakuhoji kinachoendelea ndani ya simba


Wewe usietaka kuhoji kaa na ujinga wako wa mavi kichwani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…