hp4510
JF-Expert Member
- Jan 16, 2012
- 7,235
- 7,392
Hizo Chelsea, Man City na nyingine nyingi, wawekezaji hawakuchukua mali za wanachama, wamemilikishwa timu. Mali za wanachama zinamilikiwa na kampuni zilizoanzishwa na wanachama, kiu ya mabadiliko imesababisha kuingia kichwa kichwa bila mambo ya msingi kuwekwa sawa. Mo aachane na majengo ya klabu, yeye atumie klabu ya simba kupata faida yake
Tupe value ya mali za simba na value ya mali za mo