Mzee Kilomoni Tupo nyuma yako usiyumbishwe

Simba inauwezo gani kwasasa ukiacha uwongo mnaolishwa na media?

Kwaiyo hata wachezaji tunalishwa uongo? Kocha mzuri, hoteli mzuri ya kulala, hakuna shida ya mishahara je hayo yote hata kwa macho uyaoni?
 
Natamani ungekuwa nayo hata ya kiwanja cha 20x20 ili ujue hasara yake in practical terms tajiri akiichukua

Tajiri mwenye utajiri wa 100 bilioni atapata faida gani akichukua hati ya kibanda wima chako cha laki 7?
 
Mmepata ubwete wa kuingia Champion league kupitia viti maalum kwa mgongo wa Simba chini ya hela ya Mo na visionary strategies zake.. Sasa mnataka penyeza zile fitina zenu za Timu wanachama (wananchi)wakati hata kutoa bukubuku tu kwenu iliwashinda kwenye lile kapu lenu la kuombaomba... Piganeni na hali yenu nanyi msimame na miguu miwili kiuchumi na muache ufitini, chuki na uzandiki.
 
Apewe tu hizo hati ili akavutie mkopo mnene benki ili kuendeleza hiyo biashara yake ya boda boda aliyoianzisha. Matunda tumeyaona baada ya kuwagawia na wachezaji. Inalipa bila shaka.
Km c MO yanga na KMC wangeingiaje mashindano ya CAF msimu ujao?. Au unataka mafanikio akujengee nyumba? TUMIA AKILI mda gani na nini kimepatikana
 
We jamaa unafanya nini nyuma ya Kilomoni...hujui huyo ni kama baba yako au babu yako???
 
Mbagala Market na baadaye African Lyon. Bila kusahau Singida United alichemsha kwa sababu hazina mali na mashabiki.
Yanga na Simba zina mali na mashabiki. Lazima avune tu.
Kweli kabisa!
 
Ameenda kusajili mali ya Simba iwe chini ya jina lake huoni kuwa Huo ni uhuni ulipitiliza? Mkataba unataka hivyo?
Hebu mpatieni Mo hiyo hati aliyotumwa ili akamkabidhi Bashite faster. Hamjui Bashite ndiye mmiliki ajaye wa Club ya Simba?
 
Yanga wakiukosa ubingwa wa nchi inakuwa taabu tupu hakika.
Ni kelele kelele kelele.
Mlichukua ubingwa wa ligi Mara 3 mfululizo, mbona wenzenu wa Simba waliwaheshimu kama mabingwa.
Hivi Simba naye akichukua ubingwa Mara 3 mfululizo si Mtawehuka kabisa....!
 
Unaniuliza value mimi? Valuation mlitakiwa mfanye kabla ya kuingia hicho mnachokiita hisa. Mmeingizwa mkenge eti hisa 49%.

Yan wote waliohusika kwenye mchakato ni wajinga ila ww tu mmoja ndio unaakili timamu
 
Yan wote waliohusika kwenye mchakato ni wajinga ila ww tu mmoja ndio unaakili timamu
Mkuu wote walio nyuma ya huyu babu ni Yanga fans, wao na babu yao njaa zinawasumbua hawana hoja hata moja, yaani ikitokea leo mkutano mkuu ukaitishwa huyu mzee hazubutu kuja kwa sababu hayupo kwa ajili ya maendeleo ya club bali maslai yake, kwanza nilishangaa sana kipindi kabla hawajamtimua eti alikuwa kwenye kamati ya usajili dah ndio maana simba ilikuwa haipigi hatua
 
Hivi kwani Timu za kuwekeza zimeisha?
 
Wakawekeze Ndanda,Lipuli au Singida United
 
Mo na Simba wanabebana.Ndio maana hawezi kuzibeba Singida United au African Lyon
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…