Mzee Kinana anza na January Makamba na Mkataba tata wa Mahimdra Tech

Nyankurungu2020

JF-Expert Member
Joined
Oct 2, 2020
Posts
4,170
Reaction score
6,757
Huu mkataba wa bil 70+ uligubikwa na utata mkubwa juu ulivyoingiwa na umuhimu wake kwa Tanesco.

Kwa ufupi hapa kuna harufu ya ufisadi mkubwa sana maana bil 70 ya kitanzania ni pesa nyingi.

Madhari umeanza kudili na ufisadi basi huu ndio wakati muafaka kuwalaani wanao wapiga madili na ufisadi.
 
Huu mkataba wa bil 70+ uligubikwa na utata mkubwa juu ulivyoingiwa na umuhimu wake kwa Tanesco.

Kwa ufupi hapa kuna harufu ya ufisadi mkubwa sana maana bil 70 ya kitanzania ni pesa nyingi.

Madhari umeanza kudili na ufisadi basi huu ndio wakati muafala kuwalaani wana wapiga madili na ufisadi.
Mkuu usiingize maboya.
Kila kitu kinafanyiwa kazi methodically.

Kwanza ni ku audit mwaka wa mahesabu ya serikali kwa kipindi cha mwaka mmoja/miwili iliyopita.
Tuliyoyaona naona yamekupanikisha maana ulikuwa mfaidika.

Hayz ya gesi tutayapata tu mwaka ujao.

CAG huwa hafi.
 
Huu mkataba wa bil 70+ uligubikwa na utata mkubwa juu ulivyoingiwa na umuhimu wake kwa Tanesco.

Kwa ufupi hapa kuna harufu ya ufisadi mkubwa sana maana bil 70 ya kitanzania ni pesa nyingi.

Madhari umeanza kudili na ufisadi basi huu ndio wakati muafala kuwalaani wana wapiga madili na ufisadi.
Unamshauri Kinana aonje SUMU? Hiyo ya kusema anadili na ufisadi ni danganya toto tu! Hamna kitu hapo.
 
Huu mkataba wa bil 70+ uligubikwa na utata mkubwa juu ulivyoingiwa na umuhimu wake kwa Tanesco.

Kwa ufupi hapa kuna harufu ya ufisadi mkubwa sana maana bil 70 ya kitanzania ni pesa nyingi.

Madhari umeanza kudili na ufisadi basi huu ndio wakati muafala kuwalaani wana wapiga madili na ufisadi.
Huyo hawezi kumgusa maana ni walewale wanalamba asali Pamoja.
 
Wasukuma wana hasira sana na Makamba unaweza fikiri Makamba ndo alimpiga rungu la kichwa mtu wao. Kumbe karma tu ndo iliyomrudia,
Kigogo14 ndiye haswaaa wala hakuna shaka hapo.
 
Kinana chukua ushauri huo usijifanye hausikii
 
Mtoa mada umetufurahisha sana, Kinn na Makmb ni wale wale.
Kwa kifupi ni kwamba, Genge la Porini limerudishwa kama lilivyokuwa kabla ya JPM.
Lakini Mungu ni mkubwa kuliko Genge hili. Saa inakuja ya Mungu kusikia kilio cha Watanzania.
 
pole sana kwa kuteseka.
 
Huu mkataba wa bil 70+ uligubikwa na utata mkubwa juu ulivyoingiwa na umuhimu wake kwa Tanesco.

Kwa ufupi hapa kuna harufu ya ufisadi mkubwa sana maana bil 70 ya kitanzania ni pesa nyingi.

Madhari umeanza kudili na ufisadi basi huu ndio wakati muafala kuwalaani wana wapiga madili na ufisadi.
yeye sio sehemu ya serikali. serikali ndo iwajibike kufanya hiyo kazi kama kuna sababu. Kinana ameshatekeleza wajibu wake.
 
Utamfanya huyo kikongwe mcheza sinema 2 aachane na topic ya ifisadi. Hii awamu kwa ujumla inapiga show kwenye community yetu .tutapumua wakisepa .
 
Back
Top Bottom