Mzee Kinana anza na January Makamba na Mkataba tata wa Mahimdra Tech

kinana na january ni kama pipa na mfuniko. huyu analamba asali yule anakula masega
 
Huu mkataba wa bil 70+ uligubikwa na utata mkubwa juu ulivyoingiwa na umuhimu wake kwa Tanesco.

Kwa ufupi hapa kuna harufu ya ufisadi mkubwa sana maana bil 70 ya kitanzania ni pesa nyingi.

Madhari umeanza kudili na ufisadi basi huu ndio wakati muafaka kuwalaani wana wapiga madili na ufisadi.
Uuwiii we jamaa hilo halitatokea.Ukiona mtoto anajiamini juwa anajambo.
 
Huu mkataba wa bil 70+ uligubikwa na utata mkubwa juu ulivyoingiwa na umuhimu wake kwa Tanesco.

Kwa ufupi hapa kuna harufu ya ufisadi mkubwa sana maana bil 70 ya kitanzania ni pesa nyingi.

Madhari umeanza kudili na ufisadi basi huu ndio wakati muafaka kuwalaani wana wapiga madili na ufisadi.
Umekurupuka kama jina lako linavyosadifu Nyankurungu2020. Zabuni ya Mahindra ilitangazwa na kuchakatwa wakati wa Magufuli. Hawa kina Makamba wamekuja ku implement tu.
 
Huu mkataba wa bil 70+ uligubikwa na utata mkubwa juu ulivyoingiwa na umuhimu wake kwa Tanesco.

Kwa ufupi hapa kuna harufu ya ufisadi mkubwa sana maana bil 70 ya kitanzania ni pesa nyingi.

Madhari umeanza kudili na ufisadi basi huu ndio wakati muafaka kuwalaani wana wapiga madili na ufisadi.
Sukuma gang huyu makamba kawafanya nn ? Mbona mna gubu nae kama mna mimba changa mloachiwa na lile fedhuli la chato?
 
Eti kinana anapambana na mafisadi hii nchi inavituko.
Hata magufuli alikuwa fisadi aliyejidai anapambana na mafisadi? Hukumbuki alinunua nyumba za NIC Maghorofa mawili kule dodoma kwa lak 6 kila moja tena kwa mkopo?.
Hukumbuki hata ile kebys pale mwenge alijenga hawala?
 
Huu mkataba wa bil 70+ uligubikwa na utata mkubwa juu ulivyoingiwa na umuhimu wake kwa Tanesco.

Kwa ufupi hapa kuna harufu ya ufisadi mkubwa sana maana bil 70 ya kitanzania ni pesa nyingi.

Madhari umeanza kudili na ufisadi basi huu ndio wakati muafaka kuwalaani wana wapiga madili na ufisadi.
Kesi ya tumbili hakimu nyani[emoji1]
 
Makamba hapo kabisa pesa ndefu sn
 
Back
Top Bottom