Nyankurungu2020
JF-Expert Member
- Oct 2, 2020
- 4,170
- 6,757
Never use buttocks to thinkWasukuma wana hasira sana na Makamba unaweza fikiri Makamba ndo alimpiga rungu la kichwa mtu wao. Kumbe karma tu ndo iliyomrudia,
Mkuu usiingize maboya.Huu mkataba wa bil 70+ uligubikwa na utata mkubwa juu ulivyoingiwa na umuhimu wake kwa Tanesco.
Kwa ufupi hapa kuna harufu ya ufisadi mkubwa sana maana bil 70 ya kitanzania ni pesa nyingi.
Madhari umeanza kudili na ufisadi basi huu ndio wakati muafala kuwalaani wana wapiga madili na ufisadi.
Kwamba kesi ya nyani ikaamuliwe na sokwe?We unachekesha kweli, sasa tofauti ya Kinana na Makamba ni ipi hasa?!
Mkuu amkaa usingizini, genge limerudi upyaa!.
Sent from my SM-J530F using JamiiForums mobile app
Unamshauri Kinana aonje SUMU? Hiyo ya kusema anadili na ufisadi ni danganya toto tu! Hamna kitu hapo.Huu mkataba wa bil 70+ uligubikwa na utata mkubwa juu ulivyoingiwa na umuhimu wake kwa Tanesco.
Kwa ufupi hapa kuna harufu ya ufisadi mkubwa sana maana bil 70 ya kitanzania ni pesa nyingi.
Madhari umeanza kudili na ufisadi basi huu ndio wakati muafala kuwalaani wana wapiga madili na ufisadi.
Huyo hawezi kumgusa maana ni walewale wanalamba asali Pamoja.Huu mkataba wa bil 70+ uligubikwa na utata mkubwa juu ulivyoingiwa na umuhimu wake kwa Tanesco.
Kwa ufupi hapa kuna harufu ya ufisadi mkubwa sana maana bil 70 ya kitanzania ni pesa nyingi.
Madhari umeanza kudili na ufisadi basi huu ndio wakati muafala kuwalaani wana wapiga madili na ufisadi.
Kigogo14 ndiye haswaaa wala hakuna shaka hapo.Wasukuma wana hasira sana na Makamba unaweza fikiri Makamba ndo alimpiga rungu la kichwa mtu wao. Kumbe karma tu ndo iliyomrudia,
Ngoja tuone atafanyaje huyu nkulungwaKinana chukua ushauri huo usijifanye hausikii
pole sana kwa kuteseka.Mtoa mada umetufurahisha sana, Kinn na Makmb ni wale wale.
Kwa kifupi ni kwamba, Genge la Porini limerudishwa kama lilivyokuwa kabla ya JPM.
Lakini Mungu ni mkubwa kuliko Genge hili. Saa inakuja ya Mungu kusikia kilio cha Watanzania.
yeye sio sehemu ya serikali. serikali ndo iwajibike kufanya hiyo kazi kama kuna sababu. Kinana ameshatekeleza wajibu wake.Huu mkataba wa bil 70+ uligubikwa na utata mkubwa juu ulivyoingiwa na umuhimu wake kwa Tanesco.
Kwa ufupi hapa kuna harufu ya ufisadi mkubwa sana maana bil 70 ya kitanzania ni pesa nyingi.
Madhari umeanza kudili na ufisadi basi huu ndio wakati muafala kuwalaani wana wapiga madili na ufisadi.
Kinana anapambana na mafisadiWe unachekesha kweli, sasa tofauti ya Kinana na Makamba ni ipi hasa?!
Mkuu amkaa usingizini, genge limerudi upyaa!.
Sent from my SM-J530F using JamiiForums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Hapo unamshauri mtu akate miguu yake.