Nimemsikiliza Mzee wangu Komredi Kinana eti akisema wamewapa ruzuku CHADEMA na kuwapakazia akataja na kiasi. MIMI nimuulize mzee wetu, je, CCM inapata ruzuku kiasi gani?
Akisema au akitaja basi nawaambia wananchi watazirai siku hiyo! Maana ni pesa nyingi sana lakini hata haieleweki zinakwenda wapi!
Kuna anaejua CCM wanapata ruzuku kiasi gani atueleze?