Nimemsikiliza Mzee wangu Komredi Kinana eti akisema wamewapa ruzuku Chadema na kuwapakazia akataja na kiasi.MI nimuulize mzee wetu, Je CCM inapata ruzuku kiasi gani ???
Akisemaaaaaaaaaa au akitaja basi nawaambia wananchi watazirai siku hiyo ! Manake ni pesa nyingi sana lakini hata haieleweki zinakwenda wapi !!!!
Kuna anaejua CCM WANAPATA RUZUKU KIASI GANI ATUELEZE ???