Mzee Kinana: Rushwa inalalamikiwa sana katika uchaguzi

Mzee Kinana: Rushwa inalalamikiwa sana katika uchaguzi

bagamoyo

JF-Expert Member
Joined
Jan 14, 2010
Posts
24,941
Reaction score
28,869
13 July 2024

DK 7 za KINANA AJILIPUA MBELE YA RAIS SAMIA , "tunalalamikiwa tuache rushwa"


View: https://m.youtube.com/watch?v=R1uNCHfBZGg

Akiongea mbele ya vigogo wa CCM walio viongozi serikalini akiwemo rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania , Makamu Mwenyekiti wa CCM bara komredi Abdulrahman Kinana kabla ya kuandika barua ya kujiuzulu

Tutapata viongozi wabovu, sasa hivi wanaoomba uongozi wanaombwa rushwa anasikitika Abdulrahman Kinana.

Viongozi tusiendekeze rushwa tunapokwenda uchaguzi wa 2024 / 2025 na imani ya wananchi kwetu sisi CCM itapungua

Pia soma
- Kuelekea 2025 - Abdulrahman Kinana, Makamu Mwenyekiti (CCM) Ajiuzulu, Rais Samia Suluhu Aridhia
 
5 May 2024

Mwanzo Mwisho Kinana Akizungumza Kujibu Tuhuma Za CHADEMA Kwa CCM na Rais


View: https://m.youtube.com/watch?v=4lR0AE23SMc
Leo Mei 5,2024, Makamu Mwenyekiti wa CCM anazungumza na waandishi wa habari na wanaCCM katika ukumbi wa Jakaya Kikwete Dodoma. Anategemewa kuzungumzia masuala mbalimbali ikiwemo kujibu shutuma mbalimbali zilizoibuliwa na upinzani ambazo CCM wameziita ni za kibaguzi dhidi ya Muungano....
 
5 March 2024

KINANA - SERIKALI YA UMOJA WA KITAIFA


View: https://m.youtube.com/watch?v=HYsgrkMe3WE

Leo Machi 5, 2024, chama cha upinzani cha ACT - Wazalendo kinafanya mkutano mkuu chama hicho katika ukumbi wa mikutano wa Mlimani City, jijini Dar es Salaam. Huu ni mkutano mkuu wa nne wa chama hicho toka kiliposajiliwa mwaka 2014.
 
Hahahac nawezekanaje ccm wakalalamikiwa kutoa rushwa, huyu mzee kazeeka vibaya.
 
Back
Top Bottom