Nasema Uongo Ndugu Zangu
JF-Expert Member
- Apr 28, 2020
- 279
- 779
Sawa Mr Kinana.Mlikuwa mnakera sana tena sana.
Nani kasema taa ndizo za ajali ya sasa matrekta, fuso, hiace etc....
Sawa hatukuwa na lolote zaidi ya kupokea rushwa, futeni kitengo kabisa.mlikuwa mkikamata hizo gari na taa zisizowaka mlikuwa mnazizuia zisiendelee na safari au ndio mlikuwa mnaishia kukunja na watu wanaendelea kupiga gia.
Hizo trekta na hayo matatizo ya taa ni matatizo na hivyi vicheche vipo kila siku, zile power tilla usiku zinakuwaga na taa moja mbele huku zinavuta tela pana barabarani na mlikuwa hamuwafanyi kitu.
Shida ni kwamba hamjitambui. Wewe unafanya kazi chini ya kinana? Au umeajiriwa na kinana? Sasa kwanini anawapangia jinsi ya kufanya kazi?Baada ya agizo lako, tumeitwa na tupo kwenye utekelezaji. Nadhani ajali ya Usiku wa kuamkia leo imesababishwa na Taa.
Tunashukuru, wengine tumebadilishiwa mpaka idara ila sawa tu. Kila la kheri ndugu Kinana endelea kufurahia ku-drive maana hatuta kusumbua.
Kinana ni spika tu agizo latoka kwa mwenyekiti wakeBaada ya agizo lako, tumeitwa na tupo kwenye utekelezaji. Nadhani ajali ya Usiku wa kuamkia leo imesababishwa na Taa.
Tunashukuru, wengine tumebadilishiwa mpaka idara ila sawa tu. Kila la kheri ndugu Kinana endelea kufurahia ku-drive maana hatuta kusumbua.
Mlizoea vya kunyonga......!Baada ya agizo lako, tumeitwa na tupo kwenye utekelezaji. Nadhani ajali ya Usiku wa kuamkia leo imesababishwa na Taa.
Tunashukuru, wengine tumebadilishiwa mpaka idara ila sawa tu. Kila la kheri ndugu Kinana endelea kufurahia ku-drive maana hatuta kusumbua.
Kwani nyie hamlipwi kila Mwezi?? Maana mnalalamika Sana kupunguzwa huko barabarani.Sawa hatukuwa na lolote zaidi ya kupokea rushwa, futeni kitengo kabisa.
Hatulalamiki tumeshukuru maana kila mtu alituona kama wezi, wadhulumaji na watu wasiofaa katika jamii bila kujali mchango wetu kwa jamii hata kama ni mdogo.Kwani nyie hamlipwi kila Mwezi?? Maana mnalalamika Sana kupunguzsa huko barabarani.
Sawa hatukuwa na lolote zaidi ya kupokea rushwa, futeni kitengo kabisa.
Pole sana kwa kubadilishwa.Baada ya agizo lako, tumeitwa na tupo kwenye utekelezaji. Nadhani ajali ya Usiku wa kuamkia leo imesababishwa na Taa.
Tunashukuru, wengine tumebadilishiwa mpaka idara ila sawa tu. Kila la kheri ndugu Kinana endelea kufurahia ku-drive maana hatuta kusumbua.
Nyie ni wala rushwa wakubwaSawa hatukuwa na lolote zaidi ya kupokea rushwa, futeni kitengo kabisa.
Sawa hatukuwa na lolote zaidi ya kupokea rushwa, futeni kitengo kabisa.
Elimu tunatoa sana, tatizo mnatuona sisi ni vilaza na wala rushwa unamsimamisha mtu unampa elimu yeye anakupa elfu 5 hujamwomba ila ameamua tu anaona kama unamsumbua vile Sasa mtu kama huyo wewe ungemsaidiaje?Pole sana kwa kubadilishwa.
Mnatakiwa kutoa elimu zaidi kuliko kukusanya pesa barabarani.
Maelfu ya madereva hawajui sheria za barabarani kwa kuwa wamepoata leseni kwa njia za ujanja, kupiga faini hakuwapi elimu ya usalama njiani hivyo akilipa faini anarudia makosa yaleyale.
Sawa, kila la kheri, sisi tutafanya chochote tutakacho pangiwa.Hatuwezi kulifuta, bali tutawahamisha wooote mkafanye kazi nyingine na huku tutaajili vijana waadilifu, wazalendo na wanaojituma kwenye majukumu yao na maeneo mengine tutawekeza kwenye technolojia.