Ooh jamani juzi tu nilimuona kibaha Apumzike kwa amaniMwanamuziki wa zamani Mzee Kungubaya, amefariki jioni hii, alikuwa amelazwa kwa shida ya Pressure na baadae aligundulika kuwa na tatizo la Figo
Kwa wale wasikilizaji wa zamani wa RTD kulikuwa na kipindi cha Salamu kwa Wagonjwa, ule wimbo wa kuanzia na kumaliza kipindi ulitungwa na kuimbwa na Mzee Kungubaya
Nna mpenzi wangu Kibamba eeh, eeh Kibamba..
Mpenzi wangu Kibamba eeh, Kibamba eeh..
[Moja ya nyimbo za zamani ninazozipenda sana].
Pole ziwafikie wote walioguswa na kifo cha mzee Kungubaya.
May you rest in paradise city.