Kituko
JF-Expert Member
- Jan 12, 2009
- 9,555
- 9,357
Mwanamuziki wa zamani Mzee Kungubaya, amefariki jioni hii, alikuwa amelazwa kwa shida ya Pressure na baadae aligundulika kuwa na tatizo la Figo
Kwa wale wasikilizaji wa zamani wa RTD kulikuwa na kipindi cha Salamu kwa Wagonjwa, ule wimbo wa kuanzia na kumaliza kipindi ulitungwa na kuimbwa na Mzee Kungubaya
Update
Mzee amezikwa leo saa kumi jioni maeneo ya Mbezi Msigani, amekufa na umri unaokadiliwa kuwa miaka 78