Mzee Likwidii.... Ndani ya antenna bila king'amuzi

Mzee Likwidii.... Ndani ya antenna bila king'amuzi

Mshana Jr

Platinum Member
Joined
Aug 19, 2012
Posts
301,577
Reaction score
754,412
Sometimes sifa za kijinga ni janga. Zinaweza kujisababishia madhara makubwa sana. Na kwa kweli wanawake huwa ndio kichocheo kikubwa cha kuleta madhila hayo kwa wanaume.

Ni wangapi wanakumbuka enzi zile ajali mbaya za baiskeli zilivyokuwa zinatokea? Ni manjonjo na kuonesha ufundi mbele ya kadamnasi hasa yenye wanyange[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]na si baiskeli tu hata tukutuku.

Ona kisa hiki cha mzee Likwidi AKA MAMA NAKUFAA. Anamaliza mwaka na antenna bila king'amuzi
IMG-20181201-WA0063.jpeg
 
Jamii forums imeanza kuwa kama facebook. Watu wanakosa mambo ya maana ya kupost yaani unampost ndugu yako kama vile wote tunamfaham.nyie form four toka mmalize shule mnasumbua sana humu ndani.

Mtu ukimfaham wewe basi unachukulia wote tunamfaham?sasa hii issue sisi wanaJF inatuhusu nini?umekomaa tu antena bila king'amuzi ndo msemo mpya kwako? Mkue bwana.
 
Back
Top Bottom