Mzee Likwidii.... Ndani ya antenna bila king'amuzi

Nimecheka... tena sana... Ulivyoanza kuandika nikasema ni station ya TV mpya au ni mtu kanunua antena yake kashindwa kununua na king'amuzi!!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Mgeni huyo
 
Mnanyonya mpaka vitu visivyofaa ndo madhara yake haya.
Kubali kushauriwa kama nilivyokubali ushauri wako... That way we can all become great thinkers ([of all time] may be...)
 
Ushauri nao unaangalia.mtu mpuuzi akikushauri ukachukua ushaur wake wa kipuuzi atakuona mpumbavu.

Kubali kushauriwa kama nilivyokubali ushauri wako... That way we can all become great thinkers ([of all time] may be...)
 
So hapa umeonyesha u great thinker wako we maza fanta
 
Kwani unateseka jomba? Ndio kwanza miezi 3 JF au ni multiple ID?
 
Wee dogo, hayo matusi yote ni ya nini?
Labda pengine una hii kitu tourette's disorder!...
Ngoja tukusamehe bure!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…