sosoliso
JF-Expert Member
- May 6, 2009
- 8,540
- 9,473
Faragha kwani alivunjika chumbani huo mguu..?Acheni upuuzi kuingilia faraga ya mgonjwa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Faragha kwani alivunjika chumbani huo mguu..?Acheni upuuzi kuingilia faraga ya mgonjwa
Mgeni huyoWe bwana mdogo uwe unaangalia na watu wa kuwaita form four kenge wewe..inawezekana jamii forum huifahamu vizuri..maisha haya hutakiwi kuwa serious sana kama ni hivyo usiwe unaingia hata jamii forum..umefata nini kwenye huu uzi mbona kuna nyuzi nyingi sana mkuu uweza kwenda kwenye siasa huko,biashara nk.
Ana haraka kuliko upesi[emoji23][emoji23][emoji23]View attachment VID-20181130-WA0069.mp4Mgeni huyo
Sijui kwanini watu warefu kwenda chini wana machachari sana
K
Kua na heshima we dg nani form four sasa we ka hujaelewa ujue haijaandikwa kwa ajili yako huoni wenzio wameenda sawa
Kubali kushauriwa kama nilivyokubali ushauri wako... That way we can all become great thinkers ([of all time] may be...)
So hapa umeonyesha u great thinker wako we maza fantaMnaanza kunyonya nyonya hata vitu visivyofaa toka mkiwa wadogo matokeo yake vinaenda haribu akili.you suck someone's dick to the extent you dont even know what to say and where.nyie ndo mnaharibu kizazi cha sasa.anaguswa mwingine unaleta your ass to be fucked .... Tuliza makalio hayo. Mwachie mumeo ajibu.
Kwani unateseka jomba? Ndio kwanza miezi 3 JF au ni multiple ID?Jamii forums imeanza kuwa kama facebook. Watu wanakosa mambo ya maana ya kupost yaani unampost ndugu yako kama vile wote tunamfaham.nyie form four toka mmalize shule mnasumbua sana humu ndani.
Mtu ukimfaham wewe basi unachukulia wote tunamfaham?sasa hii issue sisi wanaJF inatuhusu nini?umekomaa tu antena bila king'amuzi ndo msemo mpya kwako? Mkue bwana.
Amefanyaje?Hahaha huyu jamaa kajipatia umaarufu sana hapa mjini.
Wee dogo, hayo matusi yote ni ya nini?Mnaanza kunyonya nyonya hata vitu visivyofaa toka mkiwa wadogo matokeo yake vinaenda haribu akili.you suck someone's dick to the extent you dont even know what to say and where.nyie ndo mnaharibu kizazi cha sasa.anaguswa mwingine unaleta your ass to be fucked .... Tuliza makalio hayo. Mwachie mumeo ajibu.
[emoji23][emoji23][emoji23]Wee dogo, hayo matusi yote ni ya nini?
Labda pengine una hii kitu tourette's disorder!...
Ngoja tukusamehe bure!
View attachment 952374