Bill Lugano
JF-Expert Member
- Aug 20, 2018
- 1,189
- 6,450
Wee dogo, hayo matusi yote ni ya nini?
Labda pengine una hii kitu tourette's disorder!...
Ngoja tukusamehe bure!
View attachment 952374
Haaaaaaaahaaaaaaa ndio mwisho wa uwezo wako wa kufikiri umeishia hapo...aaaahhh maaaaamaaaaaaa nakufaaaaaaaa..
Mkuu iache akili yako ifanye kazi yenyewe usitumie nguvu,mamaaaa nakufaaaaaa
Mkongwe wa JF kwa miezi mitatu, unaaita watu legendary wa JF wanafunzi wa kidato cha nne?
Jihurumie wewe
View attachment 952394
Mshana jr
Kuna watu wana upumbavu mpaka wanajisikia raha. So siku yangu ya kujiunga unaifaham...then?mpaka umeenda kunitafuta thats good. The effect is huge.mimi sihitaji maana unaweza ukawa umejiunga hapa toka nambo forum ila una akili zile zile toka upo darasa la nne.
Hivi umaarufu huko kwenu dar unalipaje lipaje kwanHahaha huyu jamaa kajipatia umaarufu sana hapa mjini.
Angalau umeenda sawa mkuu kutoa hints kdg...wengne tupo kene Freebasics mkuu bana matumizmHuyu mzee sifa zilimponza jukwaani eti akaruka kilichompata ndo hicho[emoji16][emoji16][emoji16]
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji16][emoji16][emoji16][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji3][emoji1787][emoji23][emoji16][emoji23] mwee!Jamii forums imeanza kuwa kama facebook. Watu wanakosa mambo ya maana ya kupost yaani unampost ndugu yako kama vile wote tunamfaham.nyie form four toka mmalize shule mnasumbua sana humu ndani.
Mtu ukimfaham wewe basi unachukulia wote tunamfaham?sasa hii issue sisi wanaJF inatuhusu nini?umekomaa tu antena bila king'amuzi ndo msemo mpya kwako? Mkue bwana.
we jamaa mshana unamjua au unaropoka???Jamii forums imeanza kuwa kama facebook. Watu wanakosa mambo ya maana ya kupost yaani unampost ndugu yako kama vile wote tunamfaham.nyie form four toka mmalize shule mnasumbua sana humu ndani.
Mtu ukimfaham wewe basi unachukulia wote tunamfaham?sasa hii issue sisi wanaJF inatuhusu nini?umekomaa tu antena bila king'amuzi ndo msemo mpya kwako? Mkue bwana.
Mshana dont waste yr time shule zimefungwa januari wote watlipiwa school fees watapotea[emoji23][emoji23][emoji23]amenipa burudani tosha leo
Dah...! Asante sana mwalimu kumbe
Namwoombea aache ulevDah...! Asante sana mwalimu kumbe
Jamaa ni dalali wa fanicha pale keko
Ni mdau mkubwa wa liquid pub
Ni mtu wa vibweka
Hajaoa
Hana mtoto
Anasema bado kidogo kuwa na familia
Anaishi maisha yake vile atakavyo
Ni best friend wa Lily ambaye ndio mmiliki wa Likwidi pub
Tumuombee apone haraka