Mzee Likwidii.... Ndani ya antenna bila king'amuzi

Mzee Likwidii.... Ndani ya antenna bila king'amuzi

Kuna watu wana upumbavu mpaka wanajisikia raha. So siku yangu ya kujiunga unaifaham...then?mpaka umeenda kunitafuta thats good. The effect is huge.mimi sihitaji maana unaweza ukawa umejiunga hapa toka nambo forum ila una akili zile zile toka upo darasa la nne.

Wee dogo, hayo matusi yote ni ya nini?
Labda pengine una hii kitu tourette's disorder!...
Ngoja tukusamehe bure!
View attachment 952374
 
Na nyie wa aina hii makonda alisema msiwepo dar... Shukuruni tu serikali nayo inajichanganya.

Haaaaaaaahaaaaaaa ndio mwisho wa uwezo wako wa kufikiri umeishia hapo...aaaahhh maaaaamaaaaaaa nakufaaaaaaaa..
Mkuu iache akili yako ifanye kazi yenyewe usitumie nguvu,mamaaaa nakufaaaaaa
 
Kuna watu wana upumbavu mpaka wanajisikia raha. So siku yangu ya kujiunga unaifaham...then?mpaka umeenda kunitafuta thats good. The effect is huge.mimi sihitaji maana unaweza ukawa umejiunga hapa toka nambo forum ila una akili zile zile toka upo darasa la nne.

nambo forum ni kitu gani?
Sasa wewe ambaye huna akili za darasa la nne, then elimu yako ni ya darasa la ngapi inayokupa kiburi cha kuandika unavyoandika?
 
piere gumbo ameshafika kileleni.....

likwidi fire likwidi konki konki fire likwidi

hatutosikia mbwembwe zake mpaka mwakani daaaah
[emoji23][emoji23][emoji23]injury mwaka mzima... [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Jamii forums imeanza kuwa kama facebook. Watu wanakosa mambo ya maana ya kupost yaani unampost ndugu yako kama vile wote tunamfaham.nyie form four toka mmalize shule mnasumbua sana humu ndani.

Mtu ukimfaham wewe basi unachukulia wote tunamfaham?sasa hii issue sisi wanaJF inatuhusu nini?umekomaa tu antena bila king'amuzi ndo msemo mpya kwako? Mkue bwana.
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji16][emoji16][emoji16][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji3][emoji1787][emoji23][emoji16][emoji23] mwee!
 
Jamii forums imeanza kuwa kama facebook. Watu wanakosa mambo ya maana ya kupost yaani unampost ndugu yako kama vile wote tunamfaham.nyie form four toka mmalize shule mnasumbua sana humu ndani.

Mtu ukimfaham wewe basi unachukulia wote tunamfaham?sasa hii issue sisi wanaJF inatuhusu nini?umekomaa tu antena bila king'amuzi ndo msemo mpya kwako? Mkue bwana.
we jamaa mshana unamjua au unaropoka???
 
Dah...! Asante sana mwalimu kumbe
Jamaa ni dalali wa fanicha pale keko
Ni mdau mkubwa wa liquid pub
Ni mtu wa vibweka
Hajaoa
Hana mtoto
Anasema bado kidogo kuwa na familia
Anaishi maisha yake vile atakavyo
Ni best friend wa Lily ambaye ndio mmiliki wa Likwidi pub
Tumuombee apone haraka
 
Namwoombea aache ulev

Haf huyu jamaa namhis ni mm
 
Back
Top Bottom