W wazunguwawili JF-Expert Member Joined May 29, 2019 Posts 3,984 Reaction score 4,132 Dec 16, 2019 #41 DOUGLAS SALLU said: Maccm mado mnakunishwa nazi kama mazombi vileView attachment 1294295 Sent using Jamii Forums mobile app Click to expand... Hii ya kukuna nazi ilikuwaje? Maana mpaka nadhani ni photo shop tu. Tafadhari nipate kisa hiki. Na baada ya ukunaji kitu gani kiliendelea. Sent using Jamii Forums mobile app
DOUGLAS SALLU said: Maccm mado mnakunishwa nazi kama mazombi vileView attachment 1294295 Sent using Jamii Forums mobile app Click to expand... Hii ya kukuna nazi ilikuwaje? Maana mpaka nadhani ni photo shop tu. Tafadhari nipate kisa hiki. Na baada ya ukunaji kitu gani kiliendelea. Sent using Jamii Forums mobile app
ostrichegg JF-Expert Member Joined Jun 30, 2013 Posts 12,050 Reaction score 6,199 Dec 17, 2019 #42 Mume wa mwanae nae kaachiwa? johnthebaptist said: Mgombea urais wa CHADEMA mwaka 2015 amekitakia chama chake cha zamani uchaguzi mwema na kuwakumbusha kuwa zikutanapo pepo za Kaskazi na Kusi unaweza kuupata upepo wa kisulisuli. Siasa sio uadui Maendeleo hayana vyama! Click to expand... Sent using Jamii Forums mobile app
Mume wa mwanae nae kaachiwa? johnthebaptist said: Mgombea urais wa CHADEMA mwaka 2015 amekitakia chama chake cha zamani uchaguzi mwema na kuwakumbusha kuwa zikutanapo pepo za Kaskazi na Kusi unaweza kuupata upepo wa kisulisuli. Siasa sio uadui Maendeleo hayana vyama! Click to expand... Sent using Jamii Forums mobile app
ostrichegg JF-Expert Member Joined Jun 30, 2013 Posts 12,050 Reaction score 6,199 Dec 17, 2019 #43 Kwa hiyo na yale mliyomsemea je? MsemajiUkweli said: Kama angekuwa mwanasiasa mayai asingeweza kuwapa adhabu wafuasi wa CHADEMA kuzungusha mikono na kupiga deki barabara mara kwa mara! Click to expand... Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa hiyo na yale mliyomsemea je? MsemajiUkweli said: Kama angekuwa mwanasiasa mayai asingeweza kuwapa adhabu wafuasi wa CHADEMA kuzungusha mikono na kupiga deki barabara mara kwa mara! Click to expand... Sent using Jamii Forums mobile app