Kete Ngumu
JF-Expert Member
- Nov 21, 2014
- 6,656
- 6,886
Nimekuona unabeba makatoni ya maji eti unamsogezea lowasa!Mzee Lowassa ni vyema ukazunguuka nchi nzima makamanda wakushukuru kwa kuwasaidia kuwapa kumbukumbu ambayo haitoweza kutokea tena kwa wingi wa kura,hata wao wanakiri kuwa bila wewe maisha yao yote wasingefikisha hata nusu ya kura za 2015,
Kwa kuwa uliwaahidi kuwashukuru na umeondoka ghafla ni vyema ukawapa nafasi ya kukushukuru.
Kwa hakika hawana mgombea mwingine atakae weza kugusa idadi ile,
Kwa muonekano na matatizo waliyonayo na upungufu wa mgombea ni dhahiri yao ni kura 2.5!
CCM hoyeeeee huamini kilichotokea!Nimekuona unabeba makatoni ya maji eti unamsogezea lowasa!
In God we trust
Vipi tusubiri sumaye arudi huku au tumuunganishe akiwa huko huko zizini!Naona tuanze kuwafungulia mashitaka majizi wa Richmond kwanza
In God we trust
Wacha UZWAZWA! Kama ni kweli kwanini muhofie uchaguzi huru na wa haki utakaosimamiwa na Tume HURU ya uchaguzi badala ya hii tume FAKE ya dikteta wa magogoni?
Wiki ulitakiwa uwe mirembe kwa matibabu vipi tena!Kwani leo ccm hawakupeleka mesenja hadi wewe kipara kipya ufanyishwe kazi za mesenja kweli?
In God we trust
Tume ipo huru subiri wiki hii hii Lowassa atatueleza kama tume ni huru au sio huru!
goodWacha UZWAZWA! Kama ni kweli kwanini muhofie uchaguzi huru na wa haki utakaosimamiwa na Tume HURU ya uchaguzi badala ya hii tume FAKE ya dikteta wa magogoni?
aende na mikoa ya kusini akazungumze na wale walozulumiwa KOROSHO zao na mkt wa ccm aliyeahid kuzinunua kwa siku mbili nambiwa mpaka huu uchwao ni story tapeli mkubwa!Unaonaje Mbowe akafunguliwa jalada la utapeli wa siasa!
CCM hoyeeeee huamini kilichotokea!
Vipi tusubiri sumaye arudi huku au tumuunganishe akiwa huko huko zizini!
Wiki ulitakiwa uwe mirembe kwa matibabu vipi tena!
aende na mikoa ya kusini akazungumze na wale walozulumiwa KOROSHO zao na mkt wa ccm aliyeahid kuzinunua kwa siku mbili nambiwa mpaka huu uchwao ni story tapeli mkubwa!
OpMzee Lowassa ni vyema ukazunguuka nchi nzima makamanda wakushukuru kwa kuwasaidia kuwapa kumbukumbu ambayo haitoweza kutokea tena kwa wingi wa kura,hata wao wanakiri kuwa bila wewe maisha yao yote wasingefikisha hata nusu ya kura za 2015,
Kwa kuwa uliwaahidi kuwashukuru na umeondoka ghafla ni vyema ukawapa nafasi ya kukushukuru.
Kwa hakika hawana mgombea mwingine atakae weza kugusa idadi ile,
Kwa muonekano na matatizo waliyonayo na upungufu wa mgombea ni dhahiri yao ni kura 2.5!
Ulizunguusha mikono wewe na kudai ni raisi wa moyo wako popote alipo nawe upo!Huyo Malaya wa kisiasa na fisadi?
Huku hawapati vyeo huko wanakuwa ni wajumbe wa kamati kuu maalumu!Ccm kwa sasa mna kiwanda cha kusafisha oil chafu na kuwa super
In God we trust
Unajuta jinsi gani ulivyopiga deki barabara ya tope na kumpandisha mzee jukwaani!Siwezi kufanyishwa kazi za mesenja hata kama nina njaa kiasi gani
In God we trust
Huku hawapati vyeo huko wanakuwa ni wajumbe wa kamati kuu maalumu!
Ulizunguusha mikono wewe na kudai ni raisi wa moyo wako popote alipo nawe upo!
Kusini atakwenda sidhani kama kuna kitakachomzuia!aende na mikoa ya kusini akazungumze na wale walozulumiwa KOROSHO zao na mkt wa ccm aliyeahid kuzinunua kwa siku mbili nambiwa mpaka huu uchwao ni story tapeli mkubwa!