Mzee lowassa timiza ile ahadi yako ya kwenda kuwashukuru na pia wakushukuru,maana zile kura mil 6 hawatozipata tena maisha!

Mzee Lowassa ni vyema ukazunguuka nchi nzima makamanda wakushukuru kwa kuwasaidia kuwapa kumbukumbu ambayo haitoweza kutokea tena kwa wingi wa kura,hata wao wanakiri kuwa bila wewe maisha yao yote wasingefikisha hata nusu ya kura za 2015,
Kwa kuwa uliwaahidi kuwashukuru na umeondoka ghafla ni vyema ukawapa nafasi ya kukushukuru.
Kwa hakika hawana mgombea mwingine atakae weza kugusa idadi ile,
Kwa muonekano na matatizo waliyonayo na upungufu wa mgombea ni dhahiri yao ni kura 2.5!
Nimekuona unabeba makatoni ya maji eti unamsogezea lowasa!

In God we trust
 
Tume ipo huru subiri wiki hii hii Lowassa atatueleza kama tume ni huru au sio huru!
Wacha UZWAZWA! Kama ni kweli kwanini muhofie uchaguzi huru na wa haki utakaosimamiwa na Tume HURU ya uchaguzi badala ya hii tume FAKE ya dikteta wa magogoni?

Unaonaje Mbowe akafunguliwa jalada la utapeli wa siasa!
aende na mikoa ya kusini akazungumze na wale walozulumiwa KOROSHO zao na mkt wa ccm aliyeahid kuzinunua kwa siku mbili nambiwa mpaka huu uchwao ni story tapeli mkubwa!
 
Nasikia hata wale alio sema watazibangua kwa majino wamesepa
aende na mikoa ya kusini akazungumze na wale walozulumiwa KOROSHO zao na mkt wa ccm aliyeahid kuzinunua kwa siku mbili nambiwa mpaka huu uchwao ni story tapeli mkubwa!

In God we trust
 
Mzee Lowassa ni vyema ukazunguuka nchi nzima makamanda wakushukuru kwa kuwasaidia kuwapa kumbukumbu ambayo haitoweza kutokea tena kwa wingi wa kura,hata wao wanakiri kuwa bila wewe maisha yao yote wasingefikisha hata nusu ya kura za 2015,
Kwa kuwa uliwaahidi kuwashukuru na umeondoka ghafla ni vyema ukawapa nafasi ya kukushukuru.
Kwa hakika hawana mgombea mwingine atakae weza kugusa idadi ile,
Kwa muonekano na matatizo waliyonayo na upungufu wa mgombea ni dhahiri yao ni kura 2.5!
Op
 
Nikweli kabisa maana kina waitara na kina kafurila na wengine wote walio nunuliwa wakaja na kupewa madaraka na kuwaacha nyinyi mkipiga mihayo hamuwaoni
Huku hawapati vyeo huko wanakuwa ni wajumbe wa kamati kuu maalumu!

In God we trust
 
Acha UZUSHI WEWE! Mie na huyu fisadi lowassa wapi na wapi! Nilimpinga kabla hajakimbilia chadema na hata baada ya kukimbilia chadema. Mie si bendera fuata upepo.

Ulizunguusha mikono wewe na kudai ni raisi wa moyo wako popote alipo nawe upo!
 
aende na mikoa ya kusini akazungumze na wale walozulumiwa KOROSHO zao na mkt wa ccm aliyeahid kuzinunua kwa siku mbili nambiwa mpaka huu uchwao ni story tapeli mkubwa!
Kusini atakwenda sidhani kama kuna kitakachomzuia!
 
Back
Top Bottom