Mzee lowassa timiza ile ahadi yako ya kwenda kuwashukuru na pia wakushukuru,maana zile kura mil 6 hawatozipata tena maisha!

Msamaha wa nini sikuwahi mtukana nilikuwa namwambia ukweli na nitaendelea msimamo wangu ni ule ule!

Ungekuwa na msimamo ungeendelea kusema ulichosema wakati uko cdm. Msimamo ni hakuna ruhusa kufanya mkutano mahali ambapo hujachaguliwa, na Lowassa alizuiwa alipokuwa cdm kufanya hicho hicho na mkaona ni sawa. Sasa yuko ccm anaruhusiwa kufanya mkutano, huo msimamo wako uko wapi?
 
Huna hoja unabaki kuleta VIROJA. Viroja wapelekee mazwazwa wenzio lumumba si humu.

Yule mmoja kazi yake ni ilikuwa kumuuguza lissu nairobi na yule mwingine ni kumpepea lowassa kipindi kile cha kampeni!
 
Msimamo wangu ni kuwa alijiuzulu kutokana na kashfa hilo la mikutano asubiri tu!
 
Mimi nina uwezo wa kukulisha wewe na kizazi chako choote

In God we trust
Usije ukalaza watoto njaa leo ni jumapili na nyalandu wala sumaye hawafiki hapo ofisini sasa usijilazimishe kununua bundle!
 
Nina uwezo wa kukulisha na kukuvalisha kwani hizo buku 7 unazo lipwa hapo mimi kwangu naizidisha mara 5 kunywea bia
Usije ukalaza watoto njaa leo ni jumapili na nyalandu wala sumaye hawafiki hapo ofisini sasa usijilazimishe kununua bundle!

In God we trust
 
Pole mkuu leo watu wapo kanisani utaosha gari ya nani hapo ufipa!
Nina uwezo wa kukulisha na kukuvalisha kwani hizo buku 7 unazo lipwa hapo mimi kwangu naizidisha mara 5 kunywea bia

In God we trust
 
Kusini atakwenda sidhani kama kuna kitakachomzuia!
ukweli ni kwamba hakuna kitakachomzuia kwa sababu ya nguvu ya jeshi na TISS Wale waliotumika kupora dolla na pesa za watu kwenye bureau de change. lakini maandishi ukutani yanasomeka kwamba..... HUKO KUSINI WATU WAMEPORWA KOROSHO ZAO MCHANA KWEUPE, huko kwa wavuvi jeshi limepora watu mali zao mchana kweupe shida ni nyingi hakuna aliyesalama!
 
Unaota. Tena this time CCM lazima tupate kura zoteee, yaani 100% ya kura zote lazima tupate CCM. Safari hii hakuna mpinzani atakaye rudi bungeni!
 
Ulitembea kwa mguu kwa kuwa hukuwa na nauli

In God we trust
Gari zilikuwa hakuna, hata bodaboda walikuwa wameishawahi nafasi za kupiga kura, kumbuka hata peni madukani zilikuwa adimu maana tulipewa tahadhali na Mh. Mbowe kuwa tusitumie kalamu za Tume ya uchaguzi ( Nadhani ulikuwa ushauri wa yule mwizi wa kula maarufu aliyehamia ukawa akitokea CCM)
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…