mwakijembe
JF-Expert Member
- Mar 20, 2017
- 1,664
- 2,324
Msamaha wa nini sikuwahi mtukana nilikuwa namwambia ukweli na nitaendelea msimamo wangu ni ule ule!
Ungekuwa na msimamo ungeendelea kusema ulichosema wakati uko cdm. Msimamo ni hakuna ruhusa kufanya mkutano mahali ambapo hujachaguliwa, na Lowassa alizuiwa alipokuwa cdm kufanya hicho hicho na mkaona ni sawa. Sasa yuko ccm anaruhusiwa kufanya mkutano, huo msimamo wako uko wapi?