Mmawia
JF-Expert Member
- Aug 20, 2013
- 122,494
- 96,074
Nguo nyeusi na magari meusi
In God we trust
In God we trust
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
MMeshamuandalia ambulance ya kuzunguka nayo? Au baada ya kurudi ccm amepona ugonjwa uliokuwa unamsumbua wa kujiharishia?Mzee Lowassa ni vyema ukazunguuka nchi nzima makamanda wakushukuru kwa kuwasaidia kuwapa kumbukumbu ambayo haitoweza kutokea tena kwa wingi wa kura,hata wao wanakiri kuwa bila wewe maisha yao yote wasingefikisha hata nusu ya kura za 2015,
Kwa kuwa uliwaahidi kuwashukuru na umeondoka ghafla ni vyema ukawapa nafasi ya kukushukuru.
Kwa hakika hawana mgombea mwingine atakae weza kugusa idadi ile,
Kwa muonekano na matatizo waliyonayo na upungufu wa mgombea ni dhahiri yao ni kura 2.5!
MMeshamuandalia ambulance ya kuzunguka nayo? Au baada ya kurudi ccm amepona ugonjwa uliokuwa unamsumbua wa kujiharishia?