kautoa kichwani kwake. Ina mana hakujua kikatiba yeye hana immunity? Huo ni msala wake. Ajipe moyo atashinda majaribu. Ila lazima cha moto amekionaKtk uchunguzi wangu nimebaini kuwa baba mzazi wa Lengai Ole Sabaya Mzee Loy Ole Sabaya aliwahi kushika nafasi mbalimbali serikalini ikiwa ni pamoja na UDC.
Pia nimekuja kugundua Sabaya alipata elimu yake nchini Marekani.
Sasa Cha kujiuliza mbona watoto wa viongozi wastaafu ni waadilifu?
Mbona ni tofauti kabisa kwa Sabaya?
Pia Sabaya katembea na kupata elimu ughaibuni, tena USA, Sasa ushamba wa madaraka kautoa wapi?
Exposure yoote hiyo lakini utadhani Layman?
Tenere tuu,peleka kituo cha yatima alafu post hku nikusaidie chapuTotal amount?
DuuhLe Mutuz kasoma US na alikuwa mjasiriamali pia, nasikia alikuwa na trucking company New York ila wale mashangingi ya mjini na siasa hewa zimemwaribu kichwa kabisa
Ongezea na Mwl Nyerere alipenda sana vitumbua na alikuwa na mpishi maalum...Kwenye Kula hakuna ushamba, unajuwa kwamba the late Daniel arap MOI licha ya kuwa Rais lakini Kila siku alikuwa anakula mahindi ya kuchemsha ? Mugabe alipenda ugali wa mtama na mboga za kiafrica pia Mobutu alipenda Kula kisamvu. Hawa wote walikuwa na pesa nyingi mno ,ukijua anachokula Trump pia utamuona mshamba
Pesa zimekuwa freezed nimesikia labda kama kachimbia zingine shimoni...Sabaya ana pesa nyingi sana wala sio mshamba.serikali inakufunga alafu inakuacha na hela,zile 100 mil wanazosema kaiba na zingine nyingi kaachiwa
basi alikuwa mjinga sana,pesa za ma deal hufichwa mbali mno ni bora ukae jera huku ukijuwa kwamba nje una pesa yakoPesa zimekuwa freezed nimesikia labda kama kachimbia zingine shimoni...
Labda alikuwa anamaanisha pale USA River [emoji12][emoji12][emoji23][emoji23]Chuo kasoma St John Dodoma, hiyo marekani itakuwa ya uko umasaini
Yeye ndie aliyekuwa msumbufuAnasumbuliwa au yeye ndiye msumbufu
Wewe unatuona wajinga sana, huyo dogo amesoma St. john Dodoma pale alikuwa tapelitapeli tu toka enzi hizo waliosoma nae huko wanamjua sasa hii ya USA braza umetuokota unless unamaanisha USA river pale chuganKtk uchunguzi wangu nimebaini kuwa baba mzazi wa Lengai Ole Sabaya Mzee Loy Ole Sabaya aliwahi kushika nafasi mbalimbali serikalini ikiwa ni pamoja na UDC.
Pia nimekuja kugundua Sabaya alipata elimu yake nchini Marekani.
Sasa Cha kujiuliza mbona watoto wa viongozi wastaafu ni waadilifu?
Mbona ni tofauti kabisa kwa Sabaya?
Pia Sabaya katembea na kupata elimu ughaibuni, tena USA, Sasa ushamba wa madaraka kautoa wapi?
Exposure yoote hiyo lakini utadhani Layman?
Mererani au USA river?Marekani au Mererani?
Kwani Ulaya hakuna majizi na majangili?Ktk uchunguzi wangu nimebaini kuwa baba mzazi wa Lengai Ole Sabaya Mzee Loy Ole Sabaya aliwahi kushika nafasi mbalimbali serikalini ikiwa ni pamoja na UDC.
Pia nimekuja kugundua Sabaya alipata elimu yake nchini Marekani.
Sasa Cha kujiuliza mbona watoto wa viongozi wastaafu ni waadilifu?
Mbona ni tofauti kabisa kwa Sabaya?
Pia Sabaya katembea na kupata elimu ughaibuni, tena USA, Sasa ushamba wa madaraka kautoa wapi?
Exposure yoote hiyo lakini utadhani Layman?
MireraniMererani au USA river?