Busu la Kenge
JF-Expert Member
- Jun 13, 2025
- 2,583
- 4,776
Kuna mzee maarufu Buguruni maarufu kwa kuuza pilau toka miaka mingi ya nyuma aliuawa kikatili kwa kupigwa risasi na kupoteza maisha siku ya maandamano.
Wazee wa kiislamu maeneo ya hapo Buguruni wamesema wanajiandaa kusoma albadili ya hatarii.
Source: club house
Wazee wa kiislamu maeneo ya hapo Buguruni wamesema wanajiandaa kusoma albadili ya hatarii.
Source: club house