Mzee Magauni: Hauwezi kuwa na mke mmoja, kwani ni kama mama yako huyo?

Mzee Magauni: Hauwezi kuwa na mke mmoja, kwani ni kama mama yako huyo?

Braza Kede

JF-Expert Member
Joined
Nov 1, 2012
Posts
5,168
Reaction score
8,982
"Hauwezi kuwa na mke mmoja, kwani ni mama yako huyo?"

Wakuu huu ni msimamo thabiti wa mzee wetu kipenzi, Mzee Magauni Monwa (72) mkazi wa kijiji cha ntatumbila huko kanda ya ziwa.

Mwamba ana wake 14 watoto 103 na mimba tarajali mbili, watoto na vitukuu kama wote.

Wakuu huyu mzee kwanini asiwe mshauri mwandamizi wa baraza letu wababa la ushauri?

Anayepinga afanye kujikuna basi
20250329_190141.jpg
 
Wakuu mzee apewe heshima zake huyu kabla hajafa, sio mtu afe kwanza ndo mwanze kumsfiasfia
 
Wake 14, naye miaka 72 si mchezo; vijana wa sasa watasema wanaogopa maradhi.​
 
Ndio huyu watoto wake weupe wa kike na kiume ni kufuga mifugo na kufanya kazi za nyumbani mpaka waoe na kuolewa halafu wa watoto weusi ndio anawasomesha😂😂😂
 
Ndio huyu watoto wake weupe wa kike na kiume ni kufuga mifugo na kufanya kazi za nyumbani mpaka waoe na kuolewa halafu wa watoto weusi ndio anawasomesha😂😂😂
yea ndoyeye uyo mwamba ataki masihara
 
Back
Top Bottom