Mzee Magoma: Ali Kamwe ni Simba damu. Awataja pia Manara na Ricardo Momo

Mzee Magoma: Ali Kamwe ni Simba damu. Awataja pia Manara na Ricardo Momo

IMG-20240719-WA0001.jpg

Yanga hatuna hata presha na huyo mlia njaa,hana ubavu wa kupambana na Yanga nyakati,makolo mngejikita kwenye bakuli ili mumlipe kibu pesa zake za usajili ili aripoti kambini kuliko kupoteza muda kumdiscuss huyo mzee
 
maskini ya mungu mzee magoma hajui kama yanga ni timu ya kila mtu ktk nchi hii,UZEE SOMETIMES MBAYA
 
Ila hapo kwa Ally Kamwe hapana jamani anamsingizia Aly ni Utopolo mtupuu...mpka anazimia kwa furaha uwanjani unasema ni Simba hapana..
Ali Kamwe alikuwa analilia mshahara mnono anaolipwa Yanga, fedha kwanza ushabiki baadae.
 
Back
Top Bottom