Kichuguu
Platinum Member
- Oct 11, 2006
- 17,048
- 22,790
Kumbe hujui unalotetea. Unarukaruk kila konaHivi unachoshindwa kuelewa nini?
Unaelewa mantiki ya mfumo wa 49% kwa 51%?
Kwa nini unawaza kesho tu?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kumbe hujui unalotetea. Unarukaruk kila konaHivi unachoshindwa kuelewa nini?
Unaelewa mantiki ya mfumo wa 49% kwa 51%?
Kwa nini unawaza kesho tu?
Unaposema anapigania maslahi ya wanayanga unamaanisha nini? Mwanayanga unahitaji maslahi gani kwa Yanga zaidi ya kuiona timu yako inafanya usajili mzuri, na kupata makombe, na mwisho wa siku kukupa furaha!! Let us not complicate things. Huyo Magoma hana lolote zaidi ya kutaka tu kuleta mgogoro kwenye klabu.
Watakuja kumkumbuka mzee Magoma wakati kashakufa na Yanga imebaki hohehaheMzee Magoma yupo sawa kabisa,kinachosumbua Wanayanga ni uoga wa Umasikini tu.
YANGA yenyewe tu ni MALI kubwa sana.GSM sio mjinga kuwekeza Hela za Baba yake hapo.Anajua faida anazopata kwa kuwa mdhamini Mkuu wa YANGA.
Mzee Magoma anachotaka ni WIN-WIN situation baina ya YANGA na GSM.
Haiwezekani GSM aiteke YANGA yote kwa sababu eti anatoa Hela ya usajili,au timu imepata makombe chini yake!
Mchango wake unaheshimiwa,lakini Je maslahi ya YANGA kama Entity yako wapi?
Au maslahi ya klabu ya YANGA ni furaha tu ya Ubingwa?
Magoma amewaza mbali,GSM akiondoka Leo,Je YANGA wanabaki na nini?
Kama Ubingwa YANGA hawajaanza kuchukua Leo!
Hersi anakaa na wahasibu wanatengeneza hasara za kwenye makaratasi,Mashabiki wanatangaziwa wanakubali tu!
Mjomba yetu MAGOMA ameonyesha tofauti kubwa kati ya Wakereketwa,Mashabiki,Mashabiki mandazi,Wanazi na WANACHAMA.
Leo Hii 2024,Kuna watu ni wapenzi wakubwa wa YANGA lakini hawaoni umuhimu wala sababu ya kuwa Wanachama wa klabu hii Kongwe yenye Historia iliyotukuka.
Magoma yeye aliuona umuhimu na maana ya kuwa mwanachama,muacheni aipiganie haki ya YANGA.
Sisi wengine tuendelee kusubiria Furaha tu,maana ndio tunachokitaka.
FARAO kaikuta Yanga ina mataji mangapi? Huko nyuma Yanga ilikuwa haina wachezaji wazuri? Ilikuwa hailipi mishahara? Au umeanza kuishabikia Yanga kipindi cha mtikisa manyonyo "Mayele"?Hiyo mali kubwa inaonekana baada ya GSM kuichukua Yanga? Kama mlikuwa na pesa ilikuwaje timu inapitisha bakuli kabla ya GSM? Kama timu ilikuwa na pesa, ilikuwaje mishahara hailipwi hadi wachezaji wanagoma? Kama timu ilikuwa na pesa ilikuwaje usajili ni wachezaji wa viwango vya chini? Kama mlikuwa na pesa ilikuwaje hadi kocha Zahera anachanga changa pesa kuisaidia timu isafiri? Kama mlikuwa na pesa ilikuwaje timu za Tanzania zilishindwa kushindana kwenye mechi za kimataifa, Gormahia tu alikuwa anawatoa jasho Yanga. Leo hii mnajifanya fyoko fyoko mnaibiwa. Mlikuwa na nini hapo kabla hadi leo muone mnaibiwa? Timu masikini wa kutupwa leo mnarefusha domo kama vile kuendesha timu ni jambo jepesi wakati mmepitia kwenye magumu yasiyoelezeka. Acheni undezi na akili zenu za kimagoma.
Wewe kichwa maji aisee yaani wewe ndiye kizazi cha chief mangungo wa msovero uliyeuza ardhi na watu wako kwa karl peters kwa kipande cha kioo na shanga.Na ndio maana inapokuja swala win win maanake kila upande unufaike. Mchumba kusomeshwa ni makubaliano ya wachumba. Kinachotakiwa kwa Yanga ni mafanikio na mwekezaji yeye anachotaka ni kupata faida. Sasa ni ajabu kama mnataka GSM awape tu mafanikio halafu mnaona wivu yeye kupata faida. Hakuna shabiki anayefurahia timu yake ina ela nyingi kwenye akaunti kwasababu hakuna siku ela zitagaiwa kwa mashabiki bali shabiki anafurahia timu yake inavyopata mataji na kufanya vizuri hadi ngazi ya kimataifa. Tatizo la watu masikini ni wivu, husda na roho mbaya, mnataka msikie timu inapata mafanikio huku wakina Mo na GSM msikie wanapata hasara
Bongo wengi hewa vichwani. Hivi regulatory authority zinakuwa wapi kwenye ujinga na namna hiiWewe kichwa maji aisee yaani wewe ndiye kizazi cha chief mangungo wa msovero uliyeuza ardhi na watu wako kwa karl peters kwa kipande cha kioo na shanga.
Wanachama wa Yanga wanamiliki 51% ...halafu hutaki wapate manufaa?
Gsm hata katika uwekezaji hayupo bali ni mdhamini tu wa yanga.
Dunia imeshabadilika. Acheni kushinda kwenye vijiwe vya kahawa na kufikiri mpira unaendeshwa kwa maneno ya mdomoni. Mpira unaendeshwa kwa kutumia fedha, na siyo hayo makanzu yenu machafu.S
Wana yanga wenye timu yao...wewe kizazi cha mayele huwezi kuelewa anayoyaongea mzee Magoma
Salam!
Moja kwa moja napenda kumpongeza Mzee Juma Magoma kwa ushujaa wake wa kusimama mbele ya utawala wa Farao wenye lengo la kupora hazina ya wanachama wa Yanga. Inahitaji utulize kichwa kuelewa hoja za mzee wetu Magoma dhidi ya utawala wa Farao na mhabeshi.
Ni wazi kwa kizazi hiki cha yanga hiphop (kina Nalia ngwena ,Labani na wengineo )hawawezi kuelewa maslahi yanayopiganiwa na mzee Magoma. Mzee Magoma analilia hazina za Yanga zisiporwe na farao. Ambaye anaitumia Yanga ili kufanikisha biashara zake.
Hivi Yanga ni ya kupewa sh 1300 kama malipo ya jezi zinazouzwa 35000? Farao anavuna mali za mabilioni huku akiwahadaa wana yanga kwa supu ya nyama ya ng'ombe , Chapati mbili na show za diamond. Wazee wanaoijua Yanga na kujua uchungu waliopitia kuifikisha yanga katika mafanikio wamestuka na kuamua kupigania ukombozi wa Klabu yao.
Moja kwa moja naungana na mzee wangu Magoma na kukitaka kizazi cha kukurupuka cha mitandaoni kukaa chini na kusikiliza historia ya klabu yao ya Yanga. Kisha watajua janja janja za utawala wa Farao na msomali.
Chanzo : Jembe sports
View: https://m.youtube.com/watch?v=C4SeZ-F13ow
Manufaa ya aina gani zaidi ya mafanikio ya uwanjani na miundo mbinu?Wewe kichwa maji aisee yaani wewe ndiye kizazi cha chief mangungo wa msovero uliyeuza ardhi na watu wako kwa karl peters kwa kipande cha kioo na shanga.
Wanachama wa Yanga wanamiliki 51% ...halafu hutaki wapate manufaa?
Gsm hata katika uwekezaji hayupo bali ni mdhamini tu wa yanga.
Niitetee YANGA Mimi kama nani,Mimi mwenyewe nataka Furaha tu.Kumbe hujui unalotetea. Unarukaruk kila kona
Yanga hiphop hamuwezi kuelewa maneno ya mzee magoma. Kumbuka wenye akili yanga nzima ni watatu tu...wengine wote ni mazwazwaManufaa ya aina gani zaidi ya mafanikio ya uwanjani na miundo mbinu?
2) mchakato wa mabadiliko kwa Yanga haujakamilika, sasa hizo habari za 51 kwasasa zinatokea wapi?
Na hatuwezi kumuelewa kwasababu zama za kutegemea bakuli ili wachezaji wapate kula imepitwa na wakati. Kocha mishahara hawalipwi na wachezaji mishahara hawalipwi, migomo kila siku, wachezaji wa kimataifa hawaeleweki. Simba na Yanga zilipotoka tunazijua, ila hili ni kawaida sana ukiona shabiki wa Simba anafurahia kitu kwa jirani yake sio kwamba anakupenda bali anafurahia ili uporomoke. Hili ni sawasawa na mashabiki wa Yanga walivyokuwa wanampa sapoti wakina Kilomoni na Kigwangala lengo mpoteane ili kwao kuwe shwari.Yanga hiphop hamuwezi kuelewa maneno ya mzee magoma. Kumbuka wenye akili yanga nzima ni watatu tu...wengine wote ni mazwazwa