Mzee Magoma sio adui wa Yanga ila anapigania maslahi ya wana Yanga. Kizazi hiki cha Yanga hakiwezi kumuelewa

S
Wana yanga wenye timu yao...wewe kizazi cha mayele huwezi kuelewa anayoyaongea mzee Magoma
 
Watakuja kumkumbuka mzee Magoma wakati kashakufa na Yanga imebaki hohehahe
 
FARAO kaikuta Yanga ina mataji mangapi? Huko nyuma Yanga ilikuwa haina wachezaji wazuri? Ilikuwa hailipi mishahara? Au umeanza kuishabikia Yanga kipindi cha mtikisa manyonyo "Mayele"?
 
Wewe kichwa maji aisee yaani wewe ndiye kizazi cha chief mangungo wa msovero uliyeuza ardhi na watu wako kwa karl peters kwa kipande cha kioo na shanga.

Wanachama wa Yanga wanamiliki 51% ...halafu hutaki wapate manufaa?

Gsm hata katika uwekezaji hayupo bali ni mdhamini tu wa yanga.
 
Bongo wengi hewa vichwani. Hivi regulatory authority zinakuwa wapi kwenye ujinga na namna hii
 
S

Wana yanga wenye timu yao...wewe kizazi cha mayele huwezi kuelewa anayoyaongea mzee Magoma
Dunia imeshabadilika. Acheni kushinda kwenye vijiwe vya kahawa na kufikiri mpira unaendeshwa kwa maneno ya mdomoni. Mpira unaendeshwa kwa kutumia fedha, na siyo hayo makanzu yenu machafu.
 
Kuna watu mnatafuta maslahi Yanga na Simba?
 
Manufaa ya aina gani zaidi ya mafanikio ya uwanjani na miundo mbinu?
2) mchakato wa mabadiliko kwa Yanga haujakamilika, sasa hizo habari za 51 kwasasa zinatokea wapi?
 
Manufaa ya aina gani zaidi ya mafanikio ya uwanjani na miundo mbinu?
2) mchakato wa mabadiliko kwa Yanga haujakamilika, sasa hizo habari za 51 kwasasa zinatokea wapi?
Yanga hiphop hamuwezi kuelewa maneno ya mzee magoma. Kumbuka wenye akili yanga nzima ni watatu tu...wengine wote ni mazwazwa
 
Yanga hiphop hamuwezi kuelewa maneno ya mzee magoma. Kumbuka wenye akili yanga nzima ni watatu tu...wengine wote ni mazwazwa
Na hatuwezi kumuelewa kwasababu zama za kutegemea bakuli ili wachezaji wapate kula imepitwa na wakati. Kocha mishahara hawalipwi na wachezaji mishahara hawalipwi, migomo kila siku, wachezaji wa kimataifa hawaeleweki. Simba na Yanga zilipotoka tunazijua, ila hili ni kawaida sana ukiona shabiki wa Simba anafurahia kitu kwa jirani yake sio kwamba anakupenda bali anafurahia ili uporomoke. Hili ni sawasawa na mashabiki wa Yanga walivyokuwa wanampa sapoti wakina Kilomoni na Kigwangala lengo mpoteane ili kwao kuwe shwari.
 
!!!
 
Attachments

  • IMG-20240720-WA0016.jpg
    56 KB · Views: 5
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…