Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ujana wake huo ni umri wa miaka mingapi? Maana kwa kipindi kirefu hapa tz hatukuwa na picha za rangi.mchekeshaji maarufu nchini mzee majuto akila ujana taratibuuu.....
View attachment 179525
View attachment 179526
Sasa hapo anakula ujana au uzee?
Ujana gan huo anakula?
si anasemaga hatwangi gambe??? huyu mzee vipi naye??
Huyu atakuja kusumbua sana kama small na mwenzie kijicho
Kk utafikil ww unywi bia cku moja moja hii ni picha tu na ukiangalia vzr hao jamaa ndio waliotaka picha wamemkuta mzee wa watu na starehe zake wakataka picha so usimuhukumu mzee wa watu kihivyo kkKesho ooo nichangieni. Picha hii na iwe shahidi wetu