Decree Holder JF-Expert Member Joined Jul 19, 2015 Posts 2,559 Reaction score 3,745 Apr 30, 2018 #41 Mimi kuna watu nimewauliza hivyo wamehisi nina hila lakini ni swali sawia kabisa amepeleka wapi hela zake?
Mimi kuna watu nimewauliza hivyo wamehisi nina hila lakini ni swali sawia kabisa amepeleka wapi hela zake?
B bestmale JF-Expert Member Joined Dec 6, 2015 Posts 3,067 Reaction score 1,805 Apr 30, 2018 #42 tanga sio mchezo itakuwa mze majuto kahonga pesa yote uko tanga..mzee asicheze alikiba ameliwa pesa tanga kidogo tu apoteye na kwenye gemu
tanga sio mchezo itakuwa mze majuto kahonga pesa yote uko tanga..mzee asicheze alikiba ameliwa pesa tanga kidogo tu apoteye na kwenye gemu