Mzee majuto amepeleka wapi hela zake?

Mzee majuto amepeleka wapi hela zake?

Hata hivo vitangazo wanavyofanya sidhani kama hata milioni 3 inafika
 
Huyu Mzee watu watakuwa wanampiga pesa Nadhani au hayuko vizuri kwenye mikataba anayoingia.. Ukiachia pesa ya filamu,Mzee kafanya matangazo mengi sana..Hakutakiwa kuwa mtu wa shida shida
Mikataba ni makubaliano ya wawili,shida iliyopo matangazo yke mengi ni bei poa labda ingekua tangazo la tigo,voda ndio kuna pesa nzuri,tangazo la ivory au chumvi akulipe bei gani wakti ni kampuni ndogo hiyo
 
Yani pamoja na totoz kali zote hizi hapa mjini kama pokelo bado unauliza tu majuto hela kapeleka wapi?
 
Kutoa ni Moyo
Mzee Majuto hajaomba mtu msaada
Isipokuwa mashabiki wake tu ndio wanaumia kumuona anaumwa na kujiuliza kwann asiende ktk hospitali za nje kwa matibabu zaidi,ndio wanaamua kumchangia
Mzee majuto ni mtu wa watu,
Na ndio maana siku ya kwanza kupelekwa muhimbili ikasemekana kuwa kakosa kitanda,JPM mwenyewe ilibidi afanye ziara ya kushtukiza muhimbili ili akamskie kilio chake Majuto lkn kwa hekma na busara za mzee majuto alisema kuwa kapokelewa vizuri[emoji1321]
Majuto anaomba msaada hujamuona kwenye tv anaongea wazi kabisa halafu niliwahi kusikia mzee ana miliki mashamba na hiace kama nne hivi je vipo wapi na wengine wanadai watoto wake wanamwambia aombe msaada asiuze mali achunguzwe vizuri mali zake kama ni kweli masikini
 
Yani pamoja na totoz kali zote hizi hapa mjini kama pokelo bado unauliza tu majuto hela kapeleka wapi?
Hahaha.. Mtakua mnashindwa kutenganisha maigizo yake na maisha yake hakisi.
 
Hata mimi nashangaa. Naona Majuto anaanza kuwa kama yule dada asie na mguu, aliyetapeli watanzania hadi Ikulu kumbe anaenda India kibiashara, coz huwezi kutoka kwenye matibabu, hujakaa hata mwezi kupumzika ghafla unaibukia Sweden kwenye Birthday. Majuto ni msanii na ameanza kutapeli watu kwa afya yake. ASAS Diary tayari ajue kaliwa kwa kutoa tiketi 2 za kwenda na kurudi, bado michango ya Bongo Mavi....teh teh. nacheka kihutu
 
Duh! Basi mtu kutoa hela yako kujitibia ni ngumu
 
hata kama hana hela, sielewi kwa nini Waziri aseme Serikali inampeleka India wakati kuna Watanzania wako kwenye foleni ya India muda mrefu tena juzi wametangaza kwamba kwa sasa utaratibu umesitishwa wakati wanahakiki madeni.
 
Yani pamoja na totoz kali zote hizi hapa mjini kama pokelo bado unauliza tu majuto hela kapeleka wapi?
Sioni kosa la huyu mzee kama pesa ndio hizo alizokuwa analipwa bado sikubaliani nalo tusilaumu sana kila mwanaume anahonga unajua msanii ukisha jitangaza kuwa unalipwa pesa ndefu anakuwa unajibrand zaidi nilitegemea kusikia mzee anahitaji mkopo mana asset si anazo
 
nilicheka diamond chibu dangote sendo yake ilipo katika mahakamani baunsa wake mwarabu akaichukua na kwenda kushona kwa fundi na kumrudishia na kuiva
hivi kwa pesa tunayoaminishwa chibu aka simba anayo si alitakia baunsa wake aingie tu shop na kuchukua sendo nyingine nilicheka sana
 
kaomba msaada katafute mahojiano yake na shilawadu utaona na kusikia akiomba msaada.

Mkuu hii hoja ilianza kabla ya mzee majuto na shilawadu,
Na mtu kuomba msaada usimtafsiri ati ana njaa saana,haimaanishi kuwa kapigika ama hana hana kitu, kama vile wewe hata jero ya vocha inakupiga chenga
Mzee majuto usifkiri ati ni mlala hoi,huyo mzee anaheshma zake hapa nchini.Kumwombea dua apone hio pia ni msaada mkubwa saana[emoji1321]
 
Hivi hizi pesa wanazotuambiaga wanalipwa zinaenda wapi?? Wastara aliutangazia uma kuwa kaingia mkataba na kampuni ya simu ya china kuwa analipwa mill 400 kwa mwaka lakini alipoumwa ilibidi wadau wamchangie walau mill 70 ya kwenda kutibiwa India. Leo nayaona pia kwa mzee wetu Majuto.. Hapo chini kwenye screenshot ni mahojiano ya Millard na mzee Majuto mwaka jana.

Mi bado nawaamini wacheza Sinema. View attachment 759256
Kama wadau walivyosema wasanii mahojiano yao c yakuyaamin sana, millions 17 hzo kivuri naona aliendeleza comedy ad kwenye mahojiano yan anajitekenya alafu anacheka

Ila pil huyu mzee aliendekeza sana chini(papuchin) licha ya umri wake na ule utuuzima alivuta kigori akamuweka ndan


Nais ushapata mwanga, ela zimeenda wap
 
Tatizo wasanii wetu hawana elimu, pili hawajui kiingereza huku bado wakiendelea kusaini mikataba kwa lugha hiyo na pia makampuni na watu wanaowanyonya wasanii ni wengi,na niwataalamu wa sheria,pia ukiwafuata fuata na kuwapeleka mahakamani unaweza ukajikuta wewe ndio unaelipa hiyo fidia.
 
Hivi hizi pesa wanazotuambiaga wanalipwa zinaenda wapi?? Wastara aliutangazia uma kuwa kaingia mkataba na kampuni ya simu ya china kuwa analipwa mill 400 kwa mwaka lakini alipoumwa ilibidi wadau wamchangie walau mill 70 ya kwenda kutibiwa India. Leo nayaona pia kwa mzee wetu Majuto.. Hapo chini kwenye screenshot ni mahojiano ya Millard na mzee Majuto mwaka jana.

Mi bado nawaamini wacheza Sinema. View attachment 759256
Mtoa mada hiyo interview ni muda sana maana hapo Al Riyami kampuni yako ishakufa kitambo
 
Back
Top Bottom