Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Me nimeacha officially kuwamini tarehe 26 April.wabongo kuwaamini ni shida aisee
Dhamani? You mean Thamani?Sio mbaya wakijiongezea dhamani
Mikataba ni makubaliano ya wawili,shida iliyopo matangazo yke mengi ni bei poa labda ingekua tangazo la tigo,voda ndio kuna pesa nzuri,tangazo la ivory au chumvi akulipe bei gani wakti ni kampuni ndogo hiyoHuyu Mzee watu watakuwa wanampiga pesa Nadhani au hayuko vizuri kwenye mikataba anayoingia.. Ukiachia pesa ya filamu,Mzee kafanya matangazo mengi sana..Hakutakiwa kuwa mtu wa shida shida
Majuto anaomba msaada hujamuona kwenye tv anaongea wazi kabisa halafu niliwahi kusikia mzee ana miliki mashamba na hiace kama nne hivi je vipo wapi na wengine wanadai watoto wake wanamwambia aombe msaada asiuze mali achunguzwe vizuri mali zake kama ni kweli masikiniKutoa ni Moyo
Mzee Majuto hajaomba mtu msaada
Isipokuwa mashabiki wake tu ndio wanaumia kumuona anaumwa na kujiuliza kwann asiende ktk hospitali za nje kwa matibabu zaidi,ndio wanaamua kumchangia
Mzee majuto ni mtu wa watu,
Na ndio maana siku ya kwanza kupelekwa muhimbili ikasemekana kuwa kakosa kitanda,JPM mwenyewe ilibidi afanye ziara ya kushtukiza muhimbili ili akamskie kilio chake Majuto lkn kwa hekma na busara za mzee majuto alisema kuwa kapokelewa vizuri[emoji1321]
Ufudu hivi vizee ndio vinatuchukulia madem zetu! Na vinahonga sanaHahaha.. Mtakua mnashindwa kutenganisha maigizo yake na maisha yake hakisi.
Sioni kosa la huyu mzee kama pesa ndio hizo alizokuwa analipwa bado sikubaliani nalo tusilaumu sana kila mwanaume anahonga unajua msanii ukisha jitangaza kuwa unalipwa pesa ndefu anakuwa unajibrand zaidi nilitegemea kusikia mzee anahitaji mkopo mana asset si anazoYani pamoja na totoz kali zote hizi hapa mjini kama pokelo bado unauliza tu majuto hela kapeleka wapi?
kaomba msaada katafute mahojiano yake na shilawadu utaona na kusikia akiomba msaada.
Kama wadau walivyosema wasanii mahojiano yao c yakuyaamin sana, millions 17 hzo kivuri naona aliendeleza comedy ad kwenye mahojiano yan anajitekenya alafu anachekaHivi hizi pesa wanazotuambiaga wanalipwa zinaenda wapi?? Wastara aliutangazia uma kuwa kaingia mkataba na kampuni ya simu ya china kuwa analipwa mill 400 kwa mwaka lakini alipoumwa ilibidi wadau wamchangie walau mill 70 ya kwenda kutibiwa India. Leo nayaona pia kwa mzee wetu Majuto.. Hapo chini kwenye screenshot ni mahojiano ya Millard na mzee Majuto mwaka jana.
Mi bado nawaamini wacheza Sinema. View attachment 759256
Mtoa mada hiyo interview ni muda sana maana hapo Al Riyami kampuni yako ishakufa kitamboHivi hizi pesa wanazotuambiaga wanalipwa zinaenda wapi?? Wastara aliutangazia uma kuwa kaingia mkataba na kampuni ya simu ya china kuwa analipwa mill 400 kwa mwaka lakini alipoumwa ilibidi wadau wamchangie walau mill 70 ya kwenda kutibiwa India. Leo nayaona pia kwa mzee wetu Majuto.. Hapo chini kwenye screenshot ni mahojiano ya Millard na mzee Majuto mwaka jana.
Mi bado nawaamini wacheza Sinema. View attachment 759256