Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hivi kwani kuigiza ni dhambi mpaka mtu unaacha halafu unamrudia Mungu?/![]()
Mzee majuto ambaye amejipatia umaarufu sana kwa uigizaji hususani katika Comedy ametoa kauli rasmi kuwa kwa sasa ameamua kuachana na kazi hiyo ya uigizaji na sasa kumtumikia Mungu na kuomba asamehewe makosa kwa yale aliyotenda nyuma.
Mzee Majuto amesema kuwa kwa sasa anaamini anaweza kuishi bila kutumia kipaji chake hicho cha ugizaji na muda huu atatumia kumuomba Mungu amasamehe makosa aliyotenda na kudai kuwa anaamini itawezekana kwani Mungu ndiye anayetoa ridhiki kwa kila mtu.
“Mashabiki zangu nawaomba wawe na amani tu kwa maamuzi yangu haya kwani hakuna kitu ambacho kinaishi milele kwani ni Mungu pekee ndiye anayeweza kuishi milele, imefika wakati nimeamua kumpuzika na kumtumikia Mungu, naamini maisha yatakwenda kwani kuna watu ambao hawana vipaji ila wanaishi vyema, wanatibiwa na maisha yao yanakwenda salama hivyo hata mimi nitaishi vyema’ alisema Mzee Majuto.
Source: eatv.tv
ha ha ha
Nyie Manara kawatia ujinga kweli, Yanga mmeiwezesha nyinyi (simba) kwa kuipatia pointi 6 kama haitoshi mmekutana na Azam mkaitengenezea njia Yanga.Majuto na sanaa ni kama yanga na ubingwa havitengani
Alikuwa analazimisha ucheshi hadi kufikia kulazimika kufanya yasiyompendeza Mungu.Hivi kwani kuigiza ni dhambi mpaka mtu unaacha halafu unamrudia Mungu?/
Anzisha thread nyingine, watakuwekea picha ya 5-0 halafu siku yako iharibike ghaflaNyie Manara kawatia ujinga kweli, Yanga mmeiwezesha nyinyi (simba) kwa kuipatia pointi 6 kama haitoshi mmekutana na Azam mkaitengenezea njia Yanga.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Huu ndio Ukweli.[emoji106]Siyo rahisi kwake kufanya anayoyapanga ie kuachana na fani yake na kujikita kwenye ibada. Kwa jinsi alivyojulikana kwenye hiyo fani, watu watamjia na kumwomba akacheze kwenye mchezo fulani na ahadi ya donge nene.Atashindwa kukataa!
Msambaa mwenzake
Aliyeposti ndo anapaswa kutuomba radhi alikuwa anamaanisha nini kuposti hiyo picha btw tutakumisi sana king.Tutake radhi tafadhali