Mzee Majuto atangaza rasmi kuacha kuigiza, sasa kumrudia Mungu wake

Siyo rahisi kwake kufanya anayoyapanga ie kuachana na fani yake na kujikita kwenye ibada. Kwa jinsi alivyojulikana kwenye hiyo fani, watu watamjia na kumwomba akacheze kwenye mchezo fulani na ahadi ya donge nene.Atashindwa kukataa!
 
Ametufumbua macho, kumbe kuigiza ni kosa mbele za Mungu?!
 
Duh!kasema ya uzi huu inatia shaka kwa nguli kama huyu mpaka sasa comments hazijafika 30 au watu mlikuwa hamtaki apumzike?
 
Hivi kwani kuigiza ni dhambi mpaka mtu unaacha halafu unamrudia Mungu?/
 
Attention seeker Hivi unaamini vipi kauli ya msanii?
 
Majuto na sanaa ni kama yanga na ubingwa havitengani
Nyie Manara kawatia ujinga kweli, Yanga mmeiwezesha nyinyi (simba) kwa kuipatia pointi 6 kama haitoshi mmekutana na Azam mkaitengenezea njia Yanga.
 
Kila siku anaacha yeye, na atumie tu hela zaje tena
 
Karibu kwa Mungu mzee Majuto, lakini awe yule Mungu aliye hai, asiyepiganiwa na wanadamu
 
Nyie Manara kawatia ujinga kweli, Yanga mmeiwezesha nyinyi (simba) kwa kuipatia pointi 6 kama haitoshi mmekutana na Azam mkaitengenezea njia Yanga.
Anzisha thread nyingine, watakuwekea picha ya 5-0 halafu siku yako iharibike ghafla
 
Mkuu macho yako yana matatizo gani mbona hiyo statement iko wazi kama nguzo za umeme
 
Siyo rahisi kwake kufanya anayoyapanga ie kuachana na fani yake na kujikita kwenye ibada. Kwa jinsi alivyojulikana kwenye hiyo fani, watu watamjia na kumwomba akacheze kwenye mchezo fulani na ahadi ya donge nene.Atashindwa kukataa!
Huu ndio Ukweli.[emoji106]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…