REJESHO HURU
JF-Expert Member
- Mar 6, 2014
- 4,664
- 9,929
Yaani hapo ndio palishangaza...!Ata mm wamenistaajabisha
Na kipengele cha wema kushinda ova riyama kimeniuma sana.
Bora Gambo aliwataja akina KANUMBA lakin wengine wote wakapita kama hakukuwa na wasisi wa tasnia ya firamu.Ajabu mzee alialikwa sasa unajiuliza waliotoa mwaliko walimualika kama nani, azam sinema zetu inabidi watuombe radhi wapenzi wa filamu tanzania
Ukiacha mzee majuto kuna kituo cha luninga ITV wameshindwa kabisa kutoa appriciation kwa mchango wake wa kuinua sanaa ya maigizo na kuzaa bongo movie
Napata ukakasi hao waratibu na wandaaji wa ndani azam media kweli hawajui nani na nani wameipush hii tasnia ya filamu, hakuna recognisation yoyote ilifanyika kumuenzi kanumba, mzee kipara, kina mzee jongo, mzee small
Wao wanafikilia kina wema sepetu kina gambo ndio wameifikisha sanaa hii hapa kiukweli wamechemka sana
Kwakuwa ndio mala yao ya kwanza kutoa hizi tuzo basi wangeandaa kipengele cha appriciation kwa baazi ya wasanii
Naimani watajifunza.
Ujinga uliopitiliza kabisa unaweza ukafanya mazuri mia moja ila baya moja linachafua kila kituJana limefanyika zoezi la utoaji wa tuzo katika secta ya filamu Tanzania, ni jambo jema na la kupongezwa kwani ni hatua nzuri kwa tasnia ya filamu Tanzania.
Pamoja na yote dosari niliyoiyona ni kutotambua mchango wa mzee Majuto katika secta hii ya burudani, ingawa mzee hakuwepo katika kipengele chochote cha ushindani, ila ni dhahiri shahiri mzee Majuto katoa mchango mkubwa sana katika secta hii ya filamu.
Tunajua kuna kuteleza katika upangaji wa majukumu ila mda ujao mzee msimtupe katuburudisha sana sana mzee wetu.