Mzee Majuto (King Majuto) alistahili tuzo ya heshima ya filamu

REJESHO HURU

JF-Expert Member
Joined
Mar 6, 2014
Posts
4,664
Reaction score
9,929
Jana limefanyika zoezi la utoaji wa tuzo katika secta ya filamu Tanzania, ni jambo jema na la kupongezwa kwani ni hatua nzuri kwa tasnia ya filamu Tanzania.

Pamoja na yote dosari niliyoiyona ni kutotambua mchango wa mzee Majuto katika secta hii ya burudani, ingawa mzee hakuwepo katika kipengele chochote cha ushindani, ila ni dhahiri shahiri mzee Majuto katoa mchango mkubwa sana katika secta hii ya filamu.

Tunajua kuna kuteleza katika upangaji wa majukumu ila mda ujao mzee msimtupe katuburudisha sana sana mzee wetu.
 
Nami nilishangaa sijui kwa nini alialikwa kama hata tuzo ya heshima kwa ajili yake haikuwepo.
 
Mwanzo mgumu..ndio wanaanza nadhani watajirekebisha next time..hope watayapokea haya kama ushauri.
 
Ata mm wamenistaajabisha

Na kipengele cha wema kushinda ova riyama kimeniuma sana.
 
pengine kama ilivyo desturi yetu wanadamu tunasubiri atangulie mbele za haki ndio tuje tumtunuku,ningeshauri tutambue mchango wake akiwa hai na tumuonyeshe hilo angali yu hai,km anavyosema kocha mkuu wa ngorongoro heroes Ami Ninje kuwa "" always their is next time"" ngoja niamini km mwalimu Ami Ninje,pengine wakati ujao watafanya hivyo.
 
Ajabu mzee alialikwa sasa unajiuliza waliotoa mwaliko walimualika kama nani, azam sinema zetu inabidi watuombe radhi wapenzi wa filamu tanzania

Ukiacha mzee majuto kuna kituo cha luninga ITV wameshindwa kabisa kutoa appriciation kwa mchango wake wa kuinua sanaa ya maigizo na kuzaa bongo movie

Napata ukakasi hao waratibu na wandaaji wa ndani azam media kweli hawajui nani na nani wameipush hii tasnia ya filamu, hakuna recognisation yoyote ilifanyika kumuenzi kanumba, mzee kipara, kina mzee jongo, mzee small

Wao wanafikilia kina wema sepetu kina gambo ndio wameifikisha sanaa hii hapa kiukweli wamechemka sana

Kwakuwa ndio mala yao ya kwanza kutoa hizi tuzo basi wangeandaa kipengele cha appriciation kwa baazi ya wasanii

Naimani watajifunza.
 
Hamna kitu hapo. Hovyo kabisa.
 
Bora Gambo aliwataja akina KANUMBA lakin wengine wote wakapita kama hakukuwa na wasisi wa tasnia ya firamu.

Ila kwa kuwa Ni mwanzo tuwape muda
 
Jana limefanyika zoezi la utoaji wa tuzo katika secta ya filamu Tanzania, ni jambo jema na la kupongezwa kwani ni hatua nzuri kwa tasnia ya filamu Tanzania.

Pamoja na yote dosari niliyoiyona ni kutotambua mchango wa mzee Majuto katika secta hii ya burudani, ingawa mzee hakuwepo katika kipengele chochote cha ushindani, ila ni dhahiri shahiri mzee Majuto katoa mchango mkubwa sana katika secta hii ya filamu.

Tunajua kuna kuteleza katika upangaji wa majukumu ila mda ujao mzee msimtupe katuburudisha sana sana mzee wetu.
Ujinga uliopitiliza kabisa unaweza ukafanya mazuri mia moja ila baya moja linachafua kila kitu
 
Kumbe ndio ilikuwa hivyo....dah
 
Back
Top Bottom