Mzee Majuto mgonjwa, akosa kitanda Muhimbili

Numbisa

JF-Expert Member
Joined
Dec 12, 2016
Posts
301,221
Reaction score
1,172,274
Taarifa iliyoripotiwa January 25, 2018 ni kuhusu King Majuto ambapo ilisemakana kuwa amelazwa Muhimbili, sasa Masoud aliyetoa taarifa hiyo ambaye ni Afisa habari wa Chama cha waigizaji ameelezea kuhusu Majuto kukosa kitanda Muhimbili na kurudishwa nyumbani.

Masoud amesema kuwa kwa sasa Majuto anaishi Vingunguti kwa ndugu zake ila January 26, 2018 anaripoti hospitali kwa ajili ya vipimo na kinachomsumbua kikubwa ni Presha kwani mwili wake ulikuwa umechoka sana na bado Madaktari wanampima ilikujua tatizo kubwa ni nini.?

"Mzee wetu majuto anaumwa na anaumwa kwa muda mrefu tulifanya utaratibu wa kutoka kwakwe kuja dar ili kutibiwa muhimbili alitakiwa kulazwa ila tukapewa taarifa na madaktari kuwa vitanda vimejaa tukarudi saa nane usiku" Masoud.

Updates

Mchekeshaji maarufu Bongo, Amri Athumani alimaarufu kama 'Mzee Majuto' amefunguka na kuweka wazi ugonjwa ambao unamsumbua kwa sasa kuwa ni tezi dume na kudai kuwa atafurahi sana endapo atafanyiwa upasuaji na kuondolewa maradhi hayo. Mzee Majuto ambaye kwa sasa yupo jijini Dar es Salaam na tayari ameanza hatua za awali kuhakikisha kuwa anafanyiwa upasuaji kuondolewa tezi dume amesema kuwa kutokana na umri wake hashangazwi yeye kupata ugonjwa huo na kudai ni ugonjwa tu kama yalivyo magonjwa mengine
 
Ma legends wetu wanasikitisha sana kwa kweli..wanatofauti gani na mama chausiku wa tandale kama wanakosa hata pesa ya kujitibia.
Ila ukija kuchunguza kabla ya kuanza kusumbuliwa na matatizo unakuta they have good life.
 
legend kama uyu ilitakiwa awe na bima kubwa tu ya afya.muhimbili wangezingua angekwenda tibiwa regency ,kairuki na kwingineko bila tabu yeyote
 
Hapo naona huyu Masoud anajitafutia matatizo again......
Kwanini amesema kuhusu habari ya Mzee Majuto kukosa kitanda Muhimbili.... maana hawata chelewa kumuita mchochezi na pengine kushtakiwa kwa kosa la kusema mambo yanayo ihusu Siri Kali hii namba 5, ilhali yeye sio msemaji wake
 
Michango kwenye harusi
Michango Kwenye misiba
Michango kwenye kutibiwa
Michango kwenye shule za kata
Nchi imekuwa ya michango kila sehemu uendako ni michango tu

Rais wenu uchwara nae ni mtu wa kuomba michango huko Magogoni, kila kiongozi wa nje anayekuja lazima apigwe mzinga.

Nchi hii ni ya kipuuzi sana kuishi, huwezi pata maendeleo kama unaishi Tanzania zaidi ya kujiunga na lile genge la wahuni (looters) wa CCM ndio utakuwa tajiri
 
Ma legends wetu wanasikitisha sana kwa kweli..wanatofauti gani na mama chausiku wa tandale kama wanakosa hata pesa ya kujitibia.
Ila ukija kuchunguza kabla ya kuanza kusumbuliwa na matatizo unakuta they have good life.
Acha kuwapotosha watu kijana, ndio maana mnafeli darasani hd maisha. Umeshindwa nini kuelewa kilicho ripotiwa hap? Kuna suala la kuomba msaada wa matibabu hapo? pumbavu na lofa ndio anatabia km zako.
 
King Majuto apunguze mwili ule, Kwa umri wake na mwili ule utamsumbua.

Huwa napenda sana kukutana na comments chache za ' Majiniasi ' wachache niwaowafahamu na kuwaheshimu humu kama Wewe. Mijitu imakalia tu kujifanya inamuonea huruma Mzee Majuto lakini unaweza kushangaa katika ' Mijitu ' hiyo hiyo hakuna hata mmoja aliyemchangia chochote huyo Mzee na usishangake hapo hapo kuna ' Lijitu ' linakaa jirani na Mzee Majuto lakini hata kwenda kumsabahi tu na kumpa pole hadi muda huu hajafanya hivyo.

Huyu Mzee ni kweli tunampenda na tunasikitika kuona kwamba sasa anaumwa na kupata haya matatizo ila lawama zangu nitazigawa pande Kuu tatu ambapo Kwanza namlaumu Yeye kama Yeye na Familia yake kwamba walikosa kusoma mapema alama za Nyakati na wakajipanga mapema Kimaisha ili Mzee asije Kuaibika kama hivi na hapa napata picha kwamba yawezekana Ndugu zake wengi ni wale akina ' Ndugu Maslahi ' ambao wao kuwepo Kwao karibu nawe ni ' Kukuchuma / Kukunyonya ' tu na siyo kukusaidia.

Pili lawama zangu nazipeleka kwa Mamlaka / Serikali kwani bila kupepesa macho, kumung'unya maneno na kutikisa masikio nadhani katika Msanii wa Maigizo ambaye kama angetumika vizuri basi Serikali ya Tanzania na nchi ya Tanzania ingetambulika sana basi ni Mzee wetu Majuto na huyu huyu Mzee Majuto angeweza kuwa ' Chachu ' ya Vijaa wengine kuzidi kuwa ' wabunifu ' na hatimaye kuikuza Tasnia na Watu kupata Vipato kwa Kujiajiri na hapo hapo Serikali ingeweza kujipatia mapato fulani kupitia Kodi. Ila najua siku ikitokea huyu Mzee ameaga dunia najua tutasikia msururu wa salamu za Kinafiki za Maombolezo kutoka kwa Viongozi wetu wa Kimamlaka / Kiserikali kutoka kila pande.

Tatu na mwisho kabisa lawama zangu nazitupa kwa Wasanii wenyewe ambao tayari wao kwa wao wameshaanza kuwa na ' mpasuko ' japo wanaficha ila ni ukweli ulio wazi kwamba Umoja wa Wasanii wa Tanzania kwa sasa umeshatekwa na hisia za Kisiasa na wengi wao wameacha kushughulika na mambo yao ya Kitasnia na sasa wamebaki tu kusifia Mamlaka / Serikali huku wakizungushwa tu huku huku na kule katika matamasha na kusahau kabisa lengo lao ' Mama ' la huo Umoja wao. Ninaamini kwamba kama hawa Wasanii wangekuwa kweli wameshikamana, wanapendana na wana msimamo mmoja leo hii huyu Mzee Majuto na hata wale wengine waliopita ambao wengi wao wameshatangulia mbele za haki wasingetaabika vile na kuziacha Familia zao zikiwa duni / masikini.

Mzee Majuto ni Icon kubwa mno nchini Tanzania ila imesahaulika na labda itakumbukwa pale ikishaingia Kaburini.
 
Pili lawama zangu nazipeleka kwa Mamlaka / Serikali kwani bila kupepesa macho, kumung'unya maneno na kutikisa masikio nadhani katika Msanii wa Maigizo ambaye kama angetumika vizuri basi Serikali ya Tanzania na nchi ya Tanzania ingetambulika sana basi ni Mzee wetu Majuto na huyu huyu Mzee Majuto angeweza kuwa ' Chachu ' ya Vijaa wengine kuzidi kuwa ' wabunifu ' na hatimaye kuikuza Tasnia na Watu kupata Vipato kwa Kujiajiri na hapo hapo Serikali ingeweza kujipatia mapato fulani kupitia Kodi. Ila najua siku ikitokea huyu Mzee ameaga dunia najua tutasikia msururu wa salama za Kinafiki za Maombolezo kutoka kwa Viongozi wetu wa Kimamlaka / Kiserikali kutoka kila pande.

Tatu na mwisho kabisa lawama zangu nazitupa kwa Wasanii wenyewe ambao tayari wao kwa wao wameshaanza kuwa na ' mpasuko ' japo wanaficha ila ni ukweli ulio wazi kwamba Umoja wa Wasanii wa Tanzania kwa sasa umeshatekwa na hisia za Kisiasa na wengi wao wameacha kushughulika na mambo yao ya Kitasnia na sasa wamebaki tu kusifia Mamlaka / Serikali huku wakizungushwa tu huku huku na kule katika matamasha na kusahau kabisa lengo lao ' Mama ' la huo Umoja wao. Ninaamini kwamba kama hawa Wasanii wangekuwa kweli wameshikamana, wanapendana na wana msimamo mmoja leo hii huyu Mzee Majuto na hata wale wengine waliopita ambao wengi wao wameshatangulia mbele za haki wasingetaabika vile na kuziacha Familia zao zikiwa duni / masikini.

Mzee Majuto ni Icon kubwa mno nchini Tanzania ila imesahaulika na labda itakumbukwa pale ikishaingia Kaburini.
 
Ma legends wetu wanasikitisha sana kwa kweli..wanatofauti gani na mama chausiku wa tandale kama wanakosa hata pesa ya kujitibia.
Ila ukija kuchunguza kabla ya kuanza kusumbuliwa na matatizo unakuta they have good life.
Kuna watu wanawanyonya kupitia kazi zao, hawapati kipato Stahiki!
 
Huwa napenda sana kukutana na comments chache za ' Majiniasi ' wachache niwaowafahamu na kuwaheshimu humu kama Wewe. Mijitu imakalia tu kujifanya inamuonea huruma Mzee Majuto lakini unaweza kushangaa katika ' Mijitu ' hiyo hiyo hakuna hata mmoja aliyemchangia chochote huyo Mzee na usishangake hapo hapo kuna ' Lijitu ' linakaa jirani na Mzee Majuto lakini hata kwenda kumsabahi tu na kumpa pole hadi muda huu hajafanya hivyo.

Huyu Mzee ni kweli tunampenda na tunasikitika kuona kwamba sasa anaumwa na kupata haya matatizo ila lawama zangu nitazigawa pande Kuu tatu ambapo Kwanza namlaumu Yeye kama Yeye na Familia yake kwamba walikosa kusoma mapema alama za Nyakati na wakajipanga mapema Kimaisha ili Mzee asije Kuaibika kama hivi na hapa napata picha kwamba yawezekana Ndugu zake wengi ni wale akina ' Ndugu Maslahi ' ambao wao kuwepo Kwao karibu nawe ni ' Kukuchuma / Kukunyonya ' tu na siyo kukusaidia.

Pili lawama zangu nazipeleka kwa Mamlaka / Serikali kwani bila kupepesa macho, kumung'unya maneno na kutikisa masikio nadhani katika Msanii wa Maigizo ambaye kama angetumika vizuri basi Serikali ya Tanzania na nchi ya Tanzania ingetambulika sana basi ni Mzee wetu Majuto na huyu huyu Mzee Majuto angeweza kuwa ' Chachu ' ya Vijaa wengine kuzidi kuwa ' wabunifu ' na hatimaye kuikuza Tasnia na Watu kupata Vipato kwa Kujiajiri na hapo hapo Serikali ingeweza kujipatia mapato fulani kupitia Kodi. Ila najua siku ikitokea huyu Mzee ameaga dunia najua tutasikia msururu wa salama za Kinafiki za Maombolezo kutoka kwa Viongozi wetu wa Kimamlaka / Kiserikali kutoka kila pande.

Tatu na mwisho kabisa lawama zangu nazitupa kwa Wasanii wenyewe ambao tayari wao kwa wao wameshaanza kuwa na ' mpasuko ' japo wanaficha ila ni ukweli ulio wazi kwamba Umoja wa Wasanii wa Tanzania kwa sasa umeshatekwa na hisia za Kisiasa na wengi wao wameacha kushughulika na mambo yao ya Kitasnia na sasa wamebaki tu kusifia Mamlaka / Serikali huku wakizungushwa tu huku huku na kule katika matamasha na kusahau kabisa lengo lao ' Mama ' la huo Umoja wao. Ninaamini kwamba kama hawa Wasanii wangekuwa kweli wameshikamana, wanapendana na wana msimamo mmoja leo hii huyu Mzee Majuto na hata wale wengine waliopita ambao wengi wao wameshatangulia mbele za haki wasingetaabika vile na kuziacha Familia zao zikiwa duni / masikini.

Mzee Majuto ni Icon kubwa mno nchini Tanzania ila imesahaulika na labda itakumbukwa pale ikishaingia Kaburini.
Mwenyekiti wa Waigizaji ni Steve Nyerere unategemea nini
 
Huwa napenda sana kukutana na comments chache za ' Majiniasi ' wachache niwaowafahamu na kuwaheshimu humu kama Wewe. Mijitu imakalia tu kujifanya inamuonea huruma Mzee Majuto lakini unaweza kushangaa katika ' Mijitu ' hiyo hiyo hakuna hata mmoja aliyemchangia chochote huyo Mzee na usishangake hapo hapo kuna ' Lijitu ' linakaa jirani na Mzee Majuto lakini hata kwenda kumsabahi tu na kumpa pole hadi muda huu hajafanya hivyo.

Huyu Mzee ni kweli tunampenda na tunasikitika kuona kwamba sasa anaumwa na kupata haya matatizo ila lawama zangu nitazigawa pande Kuu tatu ambapo Kwanza namlaumu Yeye kama Yeye na Familia yake kwamba walikosa kusoma mapema alama za Nyakati na wakajipanga mapema Kimaisha ili Mzee asije Kuaibika kama hivi na hapa napata picha kwamba yawezekana Ndugu zake wengi ni wale akina ' Ndugu Maslahi ' ambao wao kuwepo Kwao karibu nawe ni ' Kukuchuma / Kukunyonya ' tu na siyo kukusaidia.

Pili lawama zangu nazipeleka kwa Mamlaka / Serikali kwani bila kupepesa macho, kumung'unya maneno na kutikisa masikio nadhani katika Msanii wa Maigizo ambaye kama angetumika vizuri basi Serikali ya Tanzania na nchi ya Tanzania ingetambulika sana basi ni Mzee wetu Majuto na huyu huyu Mzee Majuto angeweza kuwa ' Chachu ' ya Vijaa wengine kuzidi kuwa ' wabunifu ' na hatimaye kuikuza Tasnia na Watu kupata Vipato kwa Kujiajiri na hapo hapo Serikali ingeweza kujipatia mapato fulani kupitia Kodi. Ila najua siku ikitokea huyu Mzee ameaga dunia najua tutasikia msururu wa salamu za Kinafiki za Maombolezo kutoka kwa Viongozi wetu wa Kimamlaka / Kiserikali kutoka kila pande.

Tatu na mwisho kabisa lawama zangu nazitupa kwa Wasanii wenyewe ambao tayari wao kwa wao wameshaanza kuwa na ' mpasuko ' japo wanaficha ila ni ukweli ulio wazi kwamba Umoja wa Wasanii wa Tanzania kwa sasa umeshatekwa na hisia za Kisiasa na wengi wao wameacha kushughulika na mambo yao ya Kitasnia na sasa wamebaki tu kusifia Mamlaka / Serikali huku wakizungushwa tu huku huku na kule katika matamasha na kusahau kabisa lengo lao ' Mama ' la huo Umoja wao. Ninaamini kwamba kama hawa Wasanii wangekuwa kweli wameshikamana, wanapendana na wana msimamo mmoja leo hii huyu Mzee Majuto na hata wale wengine waliopita ambao wengi wao wameshatangulia mbele za haki wasingetaabika vile na kuziacha Familia zao zikiwa duni / masikini.

Mzee Majuto ni Icon kubwa mno nchini Tanzania ila imesahaulika na labda itakumbukwa pale ikishaingia Kaburini.

Maneno meengi yaliyojaa pumba za dagaa!!. Nini hujaelewa kwenye hiyo post? Mzee ameenda hospitali ya Taifa ya rufaa amekosa kitanda akarudi!! hajaomba msaada wa pesa wala hajalaumu mtu!!.. sasa wewe hizo pumba zako za dagaa na lawama unazitolea wapi? .. ungekua na akili timamu ungehoji why hospitali ya Taifa ya Rufaa haina vitanda vya kulaza wagonjwa lkn wewe unaanza kulaumu kina wema sepetu na hamisa mobeto! Hopeless!!
 
Back
Top Bottom