Mzee Majuto: Tanzanian Movie and Comedy Legend

Ila mda mwingine tujitahidi kuachana na ishu zisizo na maana kama hii ya makonda ( uliyemtaja kama Mr F F F F F )
tujadili hoja na mawazo ( ideas and not merely events and people)
Cheti cheti cheti
 
Majuto baba lao,ana uhalisia
Majuto ni heavyweight artist.. Na kwa sasa Tanzania inamtumia kwa upande mdogo sana wa uwezo wake.

Mi namkumbuka nikiwa mtoto kabisa, anatunga na kuigiza ukumbini maigizo ambayo story yake,lazima utoe machozi. Enzi za DDC Kariakoo,kila Jumamosi, akiwa na kundi la Kibisa.
Kwa wasiofahamu,zamani palikuwa na makundi ya Sanaa,lingine likiitwa Muungano. Kundi moja linakuwa na maigizo ya kufundisha,maigizo ya vichekesho,sarakasi,mashairi,ngonjera, na taarab.
 
Wachekeshaji ninao wakubali hapa bongo ni Mboto ,Tiny White na Ringo
Ni wachekeshaji kweli,ila kwa upande wangu hao ni wa kawaida tu. Kuna Uzi humu JF unaomtaja binti anayechekesha katika clip za wassup, ana lafudhi ya kihaya..
Ni comedian sawa lakini si heavyweight.
 
Mi namkubali Sumaku wa comedy ya ITV Jumapili usiku saa 3.
Yule nadhani hata stand-up comedy angeweza,hajajiongeza tu. Yule baba ni noma,kile kibabu na Yule wa lafudhi ya Kikongo,na wale wengine,nao wanachekesha,ila the best wangu ni Sumaku
 
naamini kundi bora la comedian lililobaki ni Mizengwe ITV kila jumapili saa tatu usiku.
 
Mizengwe ni kipindi pekee cha maigizo ninachoangalia toka tanzania! big up kwa.kweli.
msanii anayesimama peke yake kwa ubora uliotukuka ni Majuto.
 
Mi namkubali Sumaku wa comedy ya ITV Jumapili usiku saa 3.
Yule nadhani hata stand-up comedy angeweza,hajajiongeza tu. Yule baba ni noma,kile kibabu na Yule wa lafudhi ya Kikongo,na wale wengine,nao wanachekesha,ila the best wangu ni Sumaku
mizegwe wana kama mwezi hawatupii picha you tube sijui kwa nini
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…