Mzee Majuto: Tanzanian Movie and Comedy Legend

Mzee Majuto: Tanzanian Movie and Comedy Legend

Fundi majuto a.ka mijuto km onyango ambavyo humuita, anajua sana huyu mzee
 
Kwa mara ya kwanza kuona maigizo ya Mzee Majuto ilikuwa Mwaka 1981 palekwenye shule ya Msingi Kilole. Kwa kweli aliweka dau la shilinga 100 kwa mtu ambaye hatacheka. Walikuwa watu kama 20 hivi ila wote mmoja baada ya mwingine walipokutika na hakuna aliyepata ile shilingi mia!
 
Nataka nimpe heshima yake kabla hajafa.Sio vizuri desturi ya watu wengi kuanza kumsifia mtu wakati ameshakufa.Mzee Majuto ndo Super star ninae mtambua pekee hapa Tanzania,maana hata hao 'mastaa' wanamzimia na kutambua kuwa yeye ndo super star wa ukweli.Maana hata siku ya kufa kwake,watu badala ya kulia,wakikumbuka vituko vyake watakuwa wanatabasamu na kucheka.Respect to this Legend.
 
Kwa mara ya kwanza kuona maigizo ya Mzee Majuto ilikuwa Mwaka 1981 palekwenye shule ya Msingi Kilole. Kwa kweli aliweka dau la shilinga 100 kwa mtu ambaye hatacheka. Walikuwa watu kama 20 hivi ila wote mmoja baada ya mwingine walipokutika na hakuna aliyepata ile shilingi mia!
Are you serious?
 
Nikimuona mzee Majuto namkumbuka mzee Mangushi, enzi zile za sabuni ya komoa walikua na ushirikiano mzuri sana. Heshima kwa King huyu.
 
Back
Top Bottom