Mzee Majuto: Tanzanian Movie and Comedy Legend

Mzee Majuto: Tanzanian Movie and Comedy Legend

Kati ya hawa wachekeshaji wa2 machachari wa hapa bongo, we unaona ni nani mkali zaidi ya mwenzie?
 
acha kufananisha alcers na njaa au panya na punda milia king is king of life tym majutoo
 
Hivi wewe unaweza kumlinganisha king na joti? kweli king majuto hana mfano.

huwezi linganisha mlima kilimanjaro na kilimanyege wa pale oysterbay. king majuto yupo juu sana. yupo juu kama povu la bia.
 
Mzee majuto anachekesha sana bana.
 
Ni sawa na kumchukua Charlie Chaplin au Rowan Atkinson (Mr. Bean) na kumfananisha na Matthew Richard "Matt" Lucas wa kwenye tamthilia za Little Britain na ile ya Come Fly with Me.
 
Majuto nouma wakuu..nadhani kuwafananisha Majuto na Joti unakuwa umtendei haki Majuto..Joti si saizi yake kabisa.
 
Back
Top Bottom