Gang Chomba
JF-Expert Member
- Feb 29, 2008
- 20,649
- 4,786
My point my dear ni kwamba I find Majuto very funny!!
Hakuna comedian kwa tz anaemfikia huyu mzee'
anajitahidi ukilinganisha na hawa wengine
Sipendi comedy zake, I dont find them funny.
Ogopa mtu anachekesha watu kwenye kipindi cha radio, enzi hizo. Anaongea tu na wewe humuoni lakini unavunjika mbavu.............He rocks, the dude!
Kwa kiwango cha Bongo hakuna kama yeye.Kama unajua viwango vya comedy, huwezi kusema Majuto ni comedian mzuri.