Mzee Majuto: Tanzanian Movie and Comedy Legend

Duh huyu msee analipwa kuniliko sijui zaidi ya mara ngapi...
 
Watu muda mwingine mnashangaza sana! mbona hamuwezi kubali mawazo ya watu ambayo yako tofauti na ya kwenu? Badilikeni!
 
Sipendi filamu za kibongo lakini nilijikuta naangalia filamu ya Kibongo inayoitwa "Dala dala bila kuchoka.....Huko ndani Mzee Majuto alinitengua mbavu zangu..
 
Juzi kati nilifanikiwa kukutana na mkali huyu wa vichekesho akiwa na baadhi ya wasanii wengne.Nkapiga nae picha kujiwekea kumbukumbu.Mzee huyu ni king haswa.Sanaa ya bongo ingekuwa inalipa kivile mzee majuto alitakiwa awe anaishi masaki kama amekos vogue angekuwa anapush hata range rover sport
 
Ananifurahisha sana Mzee majuto kwa swaga zake anatisha balaa mbayaa
 
Hebu pata picha,unaingia kwenye daladala..ile unaingia tu sura ya kwanza kuiona ni ya king majuto kakaa seat ya nyuma kabisaaaaa halafu anasmile au anaachia lile cheko lake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…