Mzee Majuto: Tanzanian Movie and Comedy Legend

Nakumbuka hii (pedeshee)[emoji338] hello piddiy piddy kabipu huyu
 
Huyu jamaa kila MTU anamzungumzia tofauti wakidai kuwa ndiye Rais Wa wasanii awamu ya tano.
 
Mi ndo mchekeshaji na muigizaji pekee ninaye mkubali sana hapa bongo ,nikitaka kucheka sana naangaliaga chuchill show (RIP ayeya poa poa), akina JB waendelee tu kufuga matumbo na kumsupport mr F F F F F F F.

 

Attachments

  • images.jpe
    8.6 KB · Views: 122
asee hyo habari ya aka mzee wa ayeeyaa kufariki imenistua na kunisikitisha,,alifariki lin?? rip asee
 
He is the best plus senga na pembe walau kwa bongo commedy hua wanaleta ladha sio akina futuhi 😀😀
 
Ila mda mwingine tujitahidi kuachana na ishu zisizo na maana kama hii ya makonda ( uliyemtaja kama Mr F F F F F )
tujadili hoja na mawazo ( ideas and not merely events and people)
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…